Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais wawekezaji wangekuwa wameshakimbia wote

Jamaa kwenye uchumi alikuwa hamna kitu , alikuwa yupo vzuri kwenye ukiranja ( kusimamia) Ila sio kuongoza
 
Wee ni Mjinga... Wawekezaji wakimbie alafu aliwezaje kuingia Nchi katika Uchumi wa Daraja la Kati?.


Hivi vichwa vyenu Huwa vina matope?.
Tanzania haijawahi kuingia uchumi wa kati ndo mana waandishi wa habari walikiwa hawaruhusiwi kimhoji ili asiumbuke
 
Kwani Sasa hivi mbona vijana wanaranda mitaani??
Ajira ziko wapi?
Mama yohana kazi ni kukoboa nafaka na wanawake wenzio mpaka anawagombanisha wale wapishi maarufu dar💔
We unaongea nini?
 
Kwani Sasa hivi mbona vijana wanaranda mitaani??
Ajira ziko wapi?
Mama yohana kazi ni kukoboa nafaka na wanawake wenzio mpaka anawagombanisha wale wapishi maarufu dar💔
We unaongea nini?
Wawekezaji ni ajira ndugu. Sasa hivi uwekezaji ni mwingi kuliko maelezo kwa seta nzuri za mama
 
Kwamba waarabu ndo wa maana au sio?
 
Shida siyo kuwathreaten mana mwekesaji loop hole ikiwepo lazima aibe. We uliyeingia madarakani kazi yako ni kuziba mianya tu kimyskimya. Huu ndo uongozi kama anayofanya Samia
 
Sasa kama uwekezaji ni mwingi kuliko maelezo., Mbona hatuoni matunda matunda ya uwekezaji huo.
Matunda ya uwekezaji inabidi tuyaone watanzania wote na sio hao wenye mamlaka.
Ndo wameanza. Uwekezaji siyo kunywa kahawa ndugu. Ni long term investments.
 
Kwanza alizuia demokrasia kwa kuwazuia upinzani kukosoa wala kufanya siasa. Hiintayari ni threat kwa mwekezaji
 
Kwanini tusianze kuona mimea ya matunda hayo Ulosema yataonekana awamu ya pili ikiwa inastawi vizuri.,katika hii awamu ya kwanza?
Usiwe mtoto basi. Ngoja nikupe mfano. Mwekezaji labda wa kiwanda A unafikiri mpaka kifanye kazi kinachukua mda gani kama siyo five years and above.
 
Kwanza alizuia demokrasia kwa kuwazuia upinzani kukosoa wala kufanya siasa. Hiintayari ni threat kwa mwekezaji
Yaani mwekezaji aogope eti kisa wapinzani wamezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa? Ebu kuweni na aibu kidogo basi. Punguza kujidharirisha basi inatosha. Hivi wabongo huwa tunafikiri kuna nchi inayojari hizi biashara tunazoziita siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…