Hayati Magufuli huwezi kusahaulika kwa miaka mingi sana kwa Meli kubwa Ziwa Victoria

wewe ni mmoja wa mfano wa viongozi wengi waliolikwamisha hili taifa yani unawaza kufanya jambo linalikidhi idadi ya watu waliopo bila kufikiria mbele this is bulls**i

tuwe tunatumia akili kwenye kuamua mambo kwa muktakabali wa Taifa
 
He was a man beyond our time wamebaki madunga embe wanamtukana na kumlaani kwa kuwaharibia ulaji.
 
Tulio kuwa rohoni tuliona Eng ingezima kumbe kweli bwana ila ataishi kwa miaka mingi na uwenda matendo yake yatalitikisa Taifa
 
Hata kuunda meli kwa ajili ya wananchi wa eneo lake ni thawabu tupu kwa muumba, ukumbuke hilo.
 
Magufuli ana pesa ya kuuunda meli?
 
Zitakuja meli kubwa zaidi itasahaulika tu.
 
JPM anabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania.

Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya maisha ya mtumishi wake hakika aliletea Taifa mwanga.

Tanzania inamkumbuka na itandelea kumkumbuka daima.
Kwako wewe
 
Nenda katafute rekodi za kiserikali. Nimeleta huo uzi kwa heshima ya wengi walioteseka hapo ziwani kwa miaka mingi.

JPM na madhambi yake yote kwa kujenga hiyo meli ameliweka hai jina lake miongoni mwa watu wa kanda ya ziwa.
I reserve my comments. Kujenga meli ni kitu kimoja na meli kutembea ndani ya maji kwa tija ni kitu kingine. Tusubiri muda utatupa majibu
 
Unaonekana wazazi wako walikupatia kwenye mkesha wa mbio za mwenge.
Wewe ulizaliwa bahati mbaya.Baba yako alikuwa anapiga punyeto mama yako akamfuma ndio akamuomba amalizie bao asimwage mbegu chooni ndio ukapatikana wewe.ndio maana akili zako kama za mavi sababu Baba yako angekumwaga chooni.
 


Picha ya meli ikwapi?
 

Attachments

  • MELI MWANZA.jpg
    70.5 KB · Views: 2
  • MELI MWANZA.jpg
    70.5 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…