Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

Bisheni kwa hoja. Mimi binafsi nilikuwa na fahamiana sana na Magu aka Pombe kuanzia nikiwa mdogo sana. Haya nayo sema ni yeye kama Raisi na si kama ndugu. Kama kuna mtu hapa anamfahamu Magu kuanzia 1991 anaweza kubishana na mimi bila hivyo endelea na uchawa wako na hautaweza kunielewa na kubishana kwa hoja
 

Ni mti uliopandwa na Nyerere unazaa matunda
 
Huna hata aibu?
 
Nakuuliza tena kwa mara ya pili, huna hata aibu?
 
Magufuli hayupo we Mbweha! Juzi kati hapa si mlisema nchi imeponywa!? Na si iliponywa na watu wazima kabisa?

Sasa Leo Magufuli anaingiaje hapo?

Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Magufuli mlimbebesha wa kwako na huyu abebe wa kwake!!
Legacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…