Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

Ww nae huna akili timamu, mbona husemi usimikaji wa Kikwete uliendelea ht JPM alivyokuwa rais?
 
Wakati mwingine manung'uniko nikitu hatari sana alipo kuwa Mzee wa Msoga tukamuita dhaifu, akatuletea buludoza likatubuludoza tukawa na adabu tukalia mpaka mbingu zikasikia akamuita sasa kaja kizimkazi bado mnamtaja Magu wakati Magu anaondoka idara ilikuwa ofisi ya waziri mkuu leo ipo chini ya kizimkazi bado lawama kwa marehemu what is our problem?
 
Sijasema wamerudishwa nimesema kaacha maana yake wapo kama alivyo waacha na kaacha mfano mbaya sana na unatuletea matatizo zaidi hata yaliyo kuwepo
Sasa kama kaacha huo mfumo mbaya kwanini usimlaumu anaeuendeleza huoni kama unaongea unafiki na chuki dhidi ya marehemu Magufuli
 
Hivi katika afrika ni nchi gani, walifanikiwa kufanya maandamano, wakabadilisha utawala, na nchi ikatengamaa kiuchumi, ni ipi hiyo nchi, tujuzane basi, ili nasi tujifunze wenzetu waliwezaje
 
Uhakika, Asante kwa haya uliyoandika
 
Magufuli alikuwa mwendawazimu, mshamba na dikteta. Afutwe kwenye kumbukumbu za kitaifa ili asijulikane kuwa aliwahi kuwa ikulu.
 
Our problem ni kutokujua nini hasa tatizo letu Watanzania ! Na nini hasa tunataka !
Watanzania ni watu wa kulia lia tu !
Kila mtu analialia tu upande wake !
Kisha tunamalizia siku kwenye Simba na Yanga ! Ubaya Ubwela tu. πŸ˜³πŸ™„πŸ‘πŸ˜…πŸ˜‚πŸ‘
 
Unapambana na marehemu kwa vile hawezi kujitetea? Kama unaona kuna makosa unadhani atakuja kuyatatua Magufuli? Kila zama na kitabu chake. Fanya mabadiliko kwa kutumia utawala uliopo. Si mlisema Mungu kaamua ugomvi na kwamba wazuri hawafi, sasa kinachowasumbua ni nini?
 
Magufuli alikuwa mwendawazimu, mshamba na dikteta. Afutwe kwenye kumbukumbu za kitaifa ili asijulikane kuwa aliwahi kuwa ikulu.
Wewe utakuwa ulitumbuliwa vyeti feki halafu huna mamlaka kutupangia jinsi ya kukumbuka Magufuli kwa mazuri yake
 
Una muda mrefu jamii forum lakini Bado ni kichaa
The topic is beyond your scope, you can't understand it. Veterans wa tangu enzi za Jambo Forum wanaelewa critical arguments flow yake hupaswa kuwa deep kiasi gani.
 
Mpka leo bado unamuongelea MAGUFULI miaka 4 ss
Sizani kma uko sawa kichwani yanatoendelea magufuli yupo
Vijana wa diverting the real shit, kaongelelea legacy ya Jiwe which is very straightforward. Huwa tunaongelea legacy ya Mchonga kwenye issues kibao lakini kwa kuwa hakuna team Mchonga mitandaoni huwezi kukuta these type of fools wakibwabwaja eti unamuongelea marehemu/hayati wakati hayupo, in a good way or bad way the fvcking legacy lives.
 
The topic is beyond your scope, you can't understand it. Veterans wa tangu enzi za Jambo Forum wanaelewa critical arguments flow yake hupaswa kuwa deep kiasi gani.
Madness argument
 
Unamfahamu Dr Ulimboka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…