Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

You nailed it !!
 
Ukweli yule JPM Alikuwa NI chuma Cha pua aliipeleka nchi sehemu sahihi alifanya kazi hasa na Hilo lipo miyoni mwa watanzania wengi anastahili sifa zake. Ila Sasa mama aangalie hizo tozo ninyingi na nimekuja kwa wakati mmoja na maisha ya watu wa chini NI kizungumkuti. Najua anaandika kitabu chake tumpe muda ila ajifunze kwa waliotangulia wapo 5 kabla yake ataona ukweli
 
Hatapewa akija kutawala mtu katili kama yeye labda tuzo ya maovu
 
Yes,anastahili,ila pamoja na hayo yote watz wengi mno tuna tuzo yake,Magu ameacha heshima kubwa,Kuna sehemu ukienda wanakwambia kabisa tz hamtawahi kumpata Magufuli mwingine,alifatiliwa kimataifa,tulisikika.
Leo hii .......acheni tu.
 
Nakuunga mkono 💯💯💯💯
 
Rais Samia Suluhu amejitahidi sana katika uongozi wake ndani ya siku 531 amefanya mambo mengi sana aisee ukilinganisha na watangulizi wake acha kulalamika kijana na 2025 Samia hana mpinzani
 
Umesahau Magufuli alimpa ukuu wa mkoa wa Kigoma Andengenye mtu ambaye Magufuli huyohuyo alitutangazia kuwa yeye na Lugola wamesaini dili la kifisadi kwenye manunuzi fulani ya jeshi la Polisi?

Hakuna msafi ndani ya CCM, Wote wapigaji
Lakini Rais Samia Suluhu amekua tofauti ni mfano wa kuigwa kwanza anasimamia haki za wananchi kesi zisizokua na ushahidi zimefutwa Watanzania wengi tunajivuni kua na Rais mwenye upendo kama Rais Samia Suluhu
 
Sikuusoma upuuzi wako ila nashauri hiyo tuzo upewe wewe umpelekee huko aliko
 
Hivi cheti Cha kifo marehemu ananufaikaje nacho?..
 
Wewe na familia yako mkimpa inatosha
 
Rais Samia Suluhu amejitahidi sana katika uongozi wake ndani ya siku 531 amefanya mambo mengi sana aisee ukilinganisha na watangulizi wake acha kulalamika kijana na 2025 Samia hana mpinzani
Tozo?
 
Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa,

?
Tunaposema Magufuli alikuwa psychiatric watu wanabisha. Lakini nashukuru mtoa mada kwenye makala yako umeeanza na jengo la TANESCO.

Ni miaka 5 sasa jengo la TANESCO limevunjwa nusu. Bado barabara ya Mwendokasi haijasogea kabisa. Iko mbali sana. Kweli kulikuwa na sababu gani kubomoa jengo la TANESCO la siyo UKICHAA?

Kama unataka kumpa tuzo sawa inakubalika ila mpe tuzo ya MAAMUZI ya HOVYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…