Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa,

?
Tunaposema Magufuli alikuwa psychiatric watu wanabisha. Lakini nashukuru mtoa mada kwenye makala yako umeeanza na jengo la TANESCO.

Ni miaka 5 sasa jengo la TANESCO limevunjwa nusu. Bado barabara ya Mwendokasi haijasogea kabisa. Iko mbali sana. Kweli kulikuwa na sababu gani kubomoa jengo la TANESCO la siyo UKICHAA?

Kama unataka kumpa tuzo sawa inakubalika ila mpe tuzo ya MAAMUZI ya HOVYO
 
Jengo lile lilikuwa ndani ya barabara
 
Jengo lile lilikuwa ndani ya barabara
Katembee Japan, Malaysia hata SA uone namna barabara zinavyoingiliana na majengo. Sasa alibomoa mbona barabara haijafika kule?

Za chini chini zinadai kuwa Magufuli alidhani ni jengo la Lowassa na TANESCO ni wapangaji
 
Ambao hawakumwelewa Jpm ni walee, vyeti feki na wapumbavu pumbavu hivi kama wewe yaani
Unaweza kumuelewa taahira?

Usisahau kumpa na tuzo hii hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220719-125655.png
    43.6 KB · Views: 7
Unaweza kumuelewa taahira?

Usisahau kumpa na tuzo hii hapa 👇
Ujinga tupu, nchi imekushindeni, tozo kila pahala, huduma hovyo, kazi kula Kwa kamba, umeme ndo kabisaa! Mnatangaza mitambo tu ya umeme kuharibikq nq migao ya umeme, wakati mlidai mpewe miezi miwili ya kufanyia ukarabati wa mitambo,

Shida nini walamba asali?
 
TUZO YA RAIS ALIYEPORA 1.5 TRILIONI AT ONCE!!!!
JIZI, DICTATOR, COVID DENIAL PRESDA
 
Apewe tuzo hakuna namna,hususani wale wasiojulikana
 
Ndugu yangu shida yetu ss watanzania huwa hatujui nn tunataka na nn hatutaki.MUNGU akituletea mtu bado hatuwezi kung'amua na kuelewa na wakati mwingine tunasema huyu si afadhali afe tu, swali je akifa utapata nn,watu wengi tulimuomba MUNGU alete mtu wa aina ile ya Magufuli,MUNGU akasikia kilio chetu akajibu kwa kumleta Magufuli tukaanza tena kulalamika,Sasa MUNGU akasema mbona hawa watoto siwaelewi,kumbe ngoja nimchukue Magufuli John alafu hawa kwa sababu hawaeleweki ngoja kwanza wapite kwenye tanuri la Moto labla watapata AKILI.Tukichoka na msululu wa Tozo twende tukapige Magoti mbele za MUNGU Kumuomba MSAMAHA nadhani atatusikia maana MUNGU ni msikivu.
 
Daaah! Mkuu, umesema Yale yote ambayo sisi jamii ya kitanzania asilimia kubwa huwa tuko hivyo

Binafs kulingana na niliyoshuhudia tawala zilizopita na ninazoendelea kuzishuhudia, kwangu Mimi JPM ni Mtu na kiongozi aliyekitendea haki kiti cha urais,

Rais anapaswa awe ni MTU mwenye wivu na maendrleo na mwenye kuchukizwa na wizi wa Mali za nchi yake, mwenye kuwaonea huruma wanamchi wake, ni jasiri asiyeogopa vikundi vya watu watishao ili tu wengi wapate manufaa
 
Hakuna lolote. Vitu pekee ambavyo Magufuli anamzidi Samia ni; Kuua wakosoaji, UDIKTETA, kudhibiti bunge, kuitisha Mahakama, kubana vyombo vya habari na kukurupuka kwenye maamuzi.

Umaskini ni laana. Unachukia matajiri na unasahau kuwa wao ndiyo waajiri wakubwa wa wafanyakazi kuliko Serikali.

Magufuli kwa upumbavu wake alimfilisi Yusuf Manji na akasahau kuwa Manji anaajiri watu 3,000 wanaopata mishahara moja kwa moja kupitia makampuni yake ya Quality Group na wengine zaidi ya 300,000 indirectly kupitia ununuzi wa mazao kama korosho, mbaazi na ufuta.

Hawa machinga wanaohangaika kuuza barabarani bidhaa kwa asilimia kubwa ni zao la upumbavu wa Magufuli. Kadri sekta binafsi itakavyoimarika ndivyo ajira zitatengenezwa. Rais SSH yuko vizuri kiuchumi
 
Naunga mkono hoja, na tayari rais huyo yupo, JPM atapewa hiyo tuzo na Samia.
P
nimepenyezewa hapa, za ndani ndani zinasema wiki ijayo suala lako la uteuzi linaenda kukamilika, unaenda kuzawadiwa u-DC.

hakikisha kabati lako la nguo linakuwa na kaunda suti nyingi.
 
Kuuwa legacy ni mpaka kizazi chote kilichoshuhudia aliyoyafanya kife
 
nimepenyezewa hapa, za ndani ndani zinasema wiki ijayo suala lako la uteuzi linaenda kukamilika,
Amen Amen!
unaenda kuzawadiwa u-DC.
Duh...!. nilidhani ni uteuzi wa lile jambo langu, kumbe ni U DC?!, mimi saa hizi nakwenda 60!, U DC wa nini?!.
Kanisome hapa Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
hakikisha kabati lako la nguo linakuwa na kaunda suti nyingi.
Duh... umenikumbusha mbali sana!, nitakuwekea picha yangu mara yangu ya kwanza kuvaa Kaunda Suit na hiyo hiyo ndio ya mwisho!, yaani in my life, nimewahi kuvaa Kaunda Suit mara moja, ndio mara ya kwanza na ya mwisho!. Hivyo just thinking kuanza tena kuvaa Kaunda Suit, makes me sick!. Dress code ya lile jambo langu ni suti suti kweli!.
P
 
Nikikumbuka dhalimu alivyotupiga 1.5t na akalitisha bunge na vyombo vya habari, nashukuru yaliyotokea March mwaka jana.

CAG alieleza hii 1.5tr imetumika pasipo kupata idhini ya bunge na akai-link na ununuzi wa ndege

Sasa kama hii 1.5t ilienda kununua ndege ili kufufua shirika letu la ndege then ni bora zaidi kuliko ungefanyika ufisadi wa kupiga hela alafu wachache wakajilimbikizia mali

Kudos JPM
 
Rais akisema nataka hapa nikirudi nikute jengo hili limeisha na linatumika wiki moja tu kwisha kazi jengo limeisha na linatumika, Rais gani mwingine atakuja kupata kaliba hiyo?

Rais akisema sitaki mgao wa umeme na mgao hakuna umeme upo mda wote , sasa hivi huku kwetu ziwani mgao daily kazi hatufanyi saluni ya kunyoa ndevu tunalala na njaa! Na ili kung'oa mzizi wa ufisadi kwenye umeme akaanzisha mradi mkubwa wa bwawa la umeme ambalo eti sasa hawataki kulijenga kwa spidi ya Magu kwakuwa hawataki kumpa sifa Mwendazake , ujinga wa mtu mweusi ni wa kiwango cha juu! Rais huyo unaanzaje kumponda una kichaa au wazimu!

Rais akisema kila kiongozi akae ofisini atatue kero za wananchi ukienda wapo! sasa hivi hawapo!

Ukipita Airport unaziona Air Tanzania ndege kibao! zamani ndege moja tena ya kukodi aibu kubwa sana!

Everywhere you pass you see Magufuli structures sasa utamfutaje mtu huyo basi kwenda mkoa unapandia Magufuli terminal Mbezi!

Haiwezekani kuvunja Legacy ya Magufuli atabaki milele kwenye historia ya bongo

ukifika Dar kule Nyerere Road unaona zege ya njia ya juu ya SGR ambayo hawaijengi tena kwa spidi ya Magu, sasa utafutaje sifa za mtu alieanzisha kazi kubwa hiyo,

Wanaomponda Magu wanajitafutia magonjwa ya bure ya moyo.

Pamoja na mapungufu yake kama binadamu Magufuli will remain the best President for bongo, itabaki hivyo tu hata mtu akibisha kimpango wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…