Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

To be honest huyu mama yenu alianza kuzingua tu baada ya teuzi zake na hata suala la chakula kazingua JPM alifunga mipaka chakula kikajitosheleza leo hii kitini 6000/= na umeme wanafungulia maji mtera ionekane kuna upungufu wa maji maana mwaka huu hakuna ukame kama ule wa mwaka 2015_2016 ambao hata ng'ombe walikufa kwa sabab ya ukame sasa yye na makala na makamba wanadanganya watu et ng'ombe wamekunywa maji mto ruvu sababu za kishamba saana
 
Hivi wangapi wameathirika na yule dhwaalim????


 
Pepon???ahaa wapi???yule kiumbe aliwazuga wale ambao walikuwa na akili mbilikimo
 
Sikusoma haya mavi ulioyaandika hapa kichwa chamaneno tu kinatosha kujuwa hujitambui kutudhulumu sisi wavuvi nakuwateka watu kuwapiga marisasi kuwaweka kwenye viroba unaita usimamizi mazubuti lakini sinto shangaa kuona hilolikitokea kwani tuliofanyiwa hivyo sisi siondugu zenu walahatuwahusu ndiomaana mnawaza hilo
 
team argentina watabisha.
 
Hiv lini hii nchi ilikuwa hailiwi????achen kuwa wajinga
 
Haitatokea. Never on Earth. Labda apewe tuzo ya rais wa hivyo kuwahi kutokea duniani. We huoni anavyotumika ka reference/specimen ya mauji ya raia akiwa Kama rais na hakujua anachofanya Kama rais. Akabaki anakimbizana na kila anayemkosia. Rais au kiongozi ni Samia ambaye anatukanwa na kupondwa lakini haui mtu, huu ndo uongozi
 
Tulia dada
 
Ilikuwa kawaida sana kuwatimua kazini nyinyi wafoji vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…