Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia

Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele.

John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa.
Rip.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Wewe na Dialo dugu moja una swing upepo unakoelekea. Hapa kati umempa punch za kutosha Magufuli kwenda na upepo ulivokuwa.
 
Unapigwa mwingi Sana, hakika tulicheleweshwa kweli kweli....!

Serikali ya awamu ya Tano ilitupora Sana, iliwekeza katika kukusanya fedha za dhuluma.

Serikali ya awamu ya Sita haitaki fedha za dhuluma na haitataka kamwe Bali inahakikisha wananchi wenyewe wanalipa Kodi kadri watakavyo.

Na wananchi baada ya kufurahishwa na Hilo wakasema watatoa zawadi kwa Serikali hii inayopenda wananchi wake Kila wanunuapo mafuta, Kila watumapo mabilioni kwa wazee/wazazi wao walioko vijijini na Kila wanunuapo umeme.

Hakika furaha iliyopotea miaka mitano iliyopita imerejea kwa watanzania.
 
Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia

Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele.

John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa.
Rip.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
🤣🤣 asilimia 23 imefanya wamkumbuke
 
Ni kweli mkuu zile tozo sio dhuluma kabisa ni haki yetu kutozwa hela ambayo inakoenda hatuna haki ya kukujua 😂
 
Wengi tu wanamkumbuka kimyakimya,wanaona aibu kusema hafharani kwamba alikuwa shujaa wetu.

Muda utawaondolea aibu sikumoja.
 
Magufuli yeye alipumguza payee take home ikaongezeka mara dufu halafu mfumuko wa bei ulikuwa chini sana
 
Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia

Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele.

John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa.
Rip.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Tunakukumbuka kwa kusema kweli kwako ... Pumzika kwa amani mwamba
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Hilo jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
Vipi hayo matukio mlikuwa mnafanya wote?
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025

Magufuli si alipora uchaguzi na kuwapa wanaccm, wako wapi hao aliowapa madaraka wahoji haya yanayoendelea?
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Dikteta John pombe magufuli
 
Back
Top Bottom