Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
Linauwa watu kuna ndugu yako aliwahi kumuuwa..?!
Watu waliotekwa aliwahifadhi wapi ndugu NAZI
Lina piga watu risasi kwa kutumia silaha aina gani muda huo ukiwa wapi anafanya tukio hilo..?!
Huo uporaji wa fedha aliufanya kwenye nyumba ya nani...?
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025

Tatizo lenu ni wajinga jinga. Bila mifumo kila siku tutaongelea marehemu tu. Kama mifumo ni mizuri nchi haitakuwa inategemea mtu mmoja. Sasa tukiwaambia mpiganie katiba hata haiendi kwenye akili zenu kwasababu mko slow sana kufikiria
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
ccm wote ni takataka tu. Hakuna hata mmoja mwenye unafuu.

Miaka zaidi ya 60 sasa tangu tupate uhuru, wao wamewekeza zaidi nguvu kubwa kwenye siasa na kujimilikisha nchi kimabavu! badala ya kuwekeza kwenye elimu bora, huduma bora za afya, maisha bora kwa wananchi wote, teknolojia ya kisasa, tafiti mbalimbali, demokrasia ya kweli, nk.
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
Sio kosa lako,shida ni ule utepetevu na ulojolojo wa fikra na akili zako.
 
Linauwa watu kuna ndugu yako aliwahi kumuuwa..?!
Watu waliotekwa aliwahifadhi wapi ndugu NAZI
Lina piga watu risasi kwa kutumia silaha aina gani muda huo ukiwa wapi anafanya tukio hilo..?!
Huo uporaji wa fedha aliufanya kwenye nyumba ya nani...?
Utasumbuka na watu wspumbavu.hao wanavisa vyao,
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Magufuli alikuwa na nyenzo, madaraka na muda wa kubadilisha ili haya yanayotokea sasa hivi yasitokee tena lakini akapuuza. Kosa ni lake.
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Kamfufuae huyo uncle wako uzikwe wewe.
Nani alimuua Ben sanane? Anzory gwanda?
 
Kuongoza nchi kwakutegemea fikra za mtu mmoja ilishapitwa na wakati.ndo maana sasa hivi chawa mnaangaika kukumbuka mtu ambaye hayupo.Kumbukumbu haziwezi kubadilisha kitu kama mfumo wauendeshaji nchi ni mbovu.Jpm alikua na nafasi yakukumbukwa kwa karne nyingi zijazo kama angeamua kufanya mambo ya msingi yakusuka mifumo ya nchi kwa ajili ya nchi ata kama angeondoka badala yakujijenga yeye mwenyewe kwa mambo ambayo yanawezwa kufanywa na yoyote.
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Aendelee tu kuongua na moto kwa madhambi yake aliyoyafanya dhidi ya watanzania. Wanaomkumbuka kwa mazuri ruksa LAKINI wanaomkumbuka kwa mabaya nao lazima watoe nyongo yao.
Ameacha wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, umalaya kwa akina Jokate na Kairuki, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.

Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari.

Nani atanikamata leo nikisema Magufuli alikuwa muuaji? Hakuna kwa vile Rais SSH anakubali kukosolewa kwa misingi ya sheria.

Magufuli was controversial figure.
1.Alitangaza vita vya vyeti fake huku akilinda baadhi ya watumishi wakuu na idara nyingine wasiguswe.
2.Alihubiri kuangamiza rushwa lakini akiwaruhusu traffic police kupewa pesa za hongo alioiita pesa ya kupiga brush viatu.
3.Alianzisha elimu bure matokeo yake darasa la kwanza wanafunzi kwenye chumba kimmoja walijaa zaidi ya 200.
Hata pale vilipopatikana au kujenga vyumba vya madarasa hakuajiri walimu wapya kuendana na wingi wa madarasa.
4.Aliomba mkopo/msaada wa Elimu wenye thamani ya 400 million dollars uliokuwa na sharti ya kuruhusu waliozaa kurudi shuleni kuendelea na masomo,lakini ulipokuwa tiyari akauruka kimanga.

5.Akiwa waziri wa miundo mbinu wakati wa Jk,aliufagilia mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,lakini alipoukwaa uraisi akaukana kabisa.
6.Alitumia pesa nyingi kujenga uzio wa kuzunguka eneo zima la madini ya Tanzanite huko Merelani ili kudhibiti utoroshaji wa madini hayo,kumbe wajanja wakachimba mahandaki kama ya wa Palestine ukanda wa Gaza,wakaendelea kutorosha madini hayo kwa njia za chini kwa chini.

7.Alihamia Dodoma kwa kuhamisha serikali yake na Taasisi mbali mbali tokea Dar kwa kile alichodai makao makuu ya nchi,lakini kwa nyakati mbali mbali akaifanya Chato kufanya shughuli mbali mbali za kitaifa hata kuliko Dodoma.
8.Hakupenda kukosolewa lakini yeye akiwakosoa waliomtangulia na viongozi wengine kwenye serikali yake.
9.Alikataa safari za kwenda nchi za nje za mbali akidai anapunguza matumizi kumbe alikuwa na kitufe Pacemaker chenye kurekebisha mapigo ya moyo ambacho kinaweza kuadhirika sana kwasababu ya mitambo ya electronic ya ndege.
10.Tuliambiwa tunadai ushuru wa makanikia sh 360 trillion tukaambuli sh 700 billion hata trillioni mmoja haijafika.
Kibaya zaidi Barrick waliitoa pesa hiyo kwa awamu wakisema ni msaada wa maendeleo wala si kodi ya makanikia hawadaiwi.
11.Alituhamasisha ataleta maendeleo kwa wananchi wote, kuwa hajali mwananchi anatokea chama gani lakini wakati mwingine akidai kuwabomolea nyumba ambao hawakumchagua.
12.Takwimu za viwanda alivyodai 8000 vimejengwa wakati wa utawala wake haikuwa sahihi.
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Tutolee ujinga wako na yule mwehu wa chato
 
Nenda kwenye mikutano ya Makonda makalio makubwa ukaulize hilo swali.
Hutapunguza wala kuongeza chochote kwa Makonda na umekaa kijinga sana Dada angu

Makalio hata babayo anayo! Wewe mwenyewe makalio unayo
 
Mimi namkumbuka sana tu sabab Tanzania inahitaji mtu kama yule hata kwa miaka 50 alaf viongozi wa kariba ya samia na kikwete ndo wafate.
 
Back
Top Bottom