Baba Magufuli pumzika Baba, pumzika kwa maana wewe umtimiza ule usemi "Kuliko ishi pasipo maneno yana ishi basi ni bora kulala ukiacha maneno yatakayo ishi kizazi hata kizazi.
Baba wapo wanao haha kukufuta ktk history kwa nguvu zote ila hawajuwi Mungu alikupa siku chache kulitawala Taifa ili kulifungua milele.
Baba umeishi maneno yako, umeishi kama iwapasavyo wafalme na watawala kwa mkono wa chuma na dam ulisimama kulitetea Taifa lako Tukufu Tanzania. Kwa dam na maumivu ulilijenga Taifa ukaisahau familia yako na watoto ulisama imara kulijenga Taifa mpaka viumbe vya angani na baharini na nchi kavu vikakiri Tanzania kuna mwanaume alie enda jando la moto na dam.
Baba najuwa hakuna anayejuwa kile ulikisema na kile ulikiona kabla na baada ya kufa kwako. Ukweli utafichwa ila mtoto kutoka kabla dogo ila lenye nguvu atainuka nakulijenga sanamu kuenzi mchango wako ktk Tanzania ya Magufuli na mwl Nyerere.
Baba umelala na hatutokusikia ila umeacha miale ya moto ya kulifia taifa kwa maelfu na mamilioni ya vijana nawaona vijana imara ktk kila idara nyeti za Taifa watakao sema this is enough.
Watanzania na hasa wabara tunasema asante asante Baba asante baba tunalia tunalia tunakulia Baba nakusema kama ungekuwepo hatujuwi nini kingetukia.
Baba unachafulia unanangwa hata na wale walijifanya wanakukubali ila tunajuwa haki yako una ililia mpaka itakapo timia haki yako itapatikana hata ukiwa makaburi ili dunia na ulimwengu ujifunze kwa Tz. Wajapo kupaka rangi mbaya watanzania bado wataona Lulu, wajapo chafuwa jina lako watanzania wataona manukato mazuri ya ajabu..
Wameibuka na vitabu na kila aina yamaneno ila bado watanzania hasa tabaka la kati na chini wanasema Mungu kwanini ulimchukua japo ndio mapenzi yake.
Baba haki yako italetwa na wa Tz haki yako Mungu ataisimamia.
Dam ilimwagika ila yote ni siri ya kata maana hata wao bado wamo mule mule hatujuwi nani mbaya ila watanzania tumemuachia Mungu maana huwezi kuwa mtawala dam isimwagike na hiyo ni siri ya Mungu na fumbo kwetu wanadam.
Baba umelala ila huku duniani hujalala huko Marekani nikama wana copy na ku pest kazi zako... tangu dunia kuumbwa na marekani wanaondoa wafanyakaz hewa, tangu dunia kuumbwa wamarekani wanasitisha misaada kwa africa jambo uliliona, kwa mara ya kwanza huko marekani wameunda kitu kinaitwa measuring goverment efficiency yaani baba wewe ni genius basi tu Mungu kakupenda zaidi.
Baba umeacha miale ya moto na Tz mpya inakuja kwa wajukuu na watoto wako.
Baba pumzika bab pumzika wewe unaishi wewe unaishi japo hatukuoni ila waishi ndani yetu. Amen