Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

1.Utekaji hamna
2.Kubambikia kesi wafanya biashara hamna
3.Kupoteza watu hamna
4.Kupiga risasi wapinzani hamna
5.nchi kutengwa na jumuiya ya kimataifa hamna
6.takwimu feki hamna
7.ukabila/ukanda na udini hamna
 
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Wakati wewe unasema hayo wenzako mjini kunazidi kukucha
IMG_20240203_173000_616.jpg
IMG_20240203_174048_562.jpg
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
Bila shaka hujasoma gazeti la Mwananchi la Jana Dogo.
 
Hichi kiswahili kilichoandikwa mbn kama kiswahili Cha kisukuma?
 
Tofauti ya magu na bibi yetu.
1. Samia anafanya kile kitu ambacho hakirisk maisha yake
While magufuli alikuwa anajirisk maisha yake kwa ajili ya familia yake na ukoo wake na mkoa wa chato.

2. Samia nimtu ambaye anapenda kufanya yale anayoweza kufanya . While magufuli alikuwa anaweka amri kitu kifanyike hata kama hakiwezekani ili aonekane kafanya .

Mwisho hakuna mwanadamu anayeweza kumfaidisha mwanadamu mwenzake .

Tafuta hela tafuta maisha mazuri acha kulia lia haisadii . Mabadiliko yananza nawewe halafu ndio wengine
 
Linauwa watu kuna ndugu yako aliwahi kumuuwa..?!
Watu waliotekwa aliwahifadhi wapi ndugu NAZI
Lina piga watu risasi kwa kutumia silaha aina gani muda huo ukiwa wapi anafanya tukio hilo..?!
Huo uporaji wa fedha aliufanya kwenye nyumba ya nani...?
Unadhan kuwa kiongozi ni kupigiwa saluti na kutoa matamko tu????
 
Tofauti ya magu na bibi yetu.
1. Samia anafanya kile kitu ambacho hakirisk maisha yake
While magufuli alikuwa anajirisk maisha yake kwa ajili ya familia yake na ukoo wake na mkoa wa chato.

2. Samia nimtu ambaye anapenda kufanya yale anayoweza kufanya . While magufuli alikuwa anaweka amri kitu kifanyike hata kama hakiwezekani ili aonekane kafanya .

Mwisho hakuna mwanadamu anayeweza kumfaidisha mwanadamu mwenzake .

Tafuta hela tafuta maisha mazuri acha kulia lia haisadii . Mabadiliko yananza nawewe halafu ndio wengine
Una umeme, maji nyumbani unao, nauli ya daladala? Mfumuko wa bei ni sahihi kwako, vipi kwa wajane, yatima, maskini wanaoibiwa ardhi, nyumba na mashamba yao? pensheni zao, haki zao?
Vipi wakinamama wanaripishwa kujifungua?

Maskini wanaozungushwa na polisi, mahakama unawaambia nini? Vipi kuuza misitu, Ngorongoro kwa maoni yako hivyo vitu ni sawa?

Uongozi ni nini? Kazi ya kiongozi ni nini? Kwanini tunawakabidhi watu wachache mamlaka, dhamana juu yetu? Wafanye kazi gani? Kutabasamu, kuwa wapole, kukimbia risk? Au kutatua changamoto zetu kubwa?
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
K nyoko. Unauhakika na ukisemacho Embicile wewe?..
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
Ukiona unaongea hivyo ujue unapanuliwa na kupakuliwa bhasi kenge wa maji chumvi wewe
 
Ukiona unaongea hivyo ujue unapanuliwa na kupakuliwa bhasi kenge wa maji chumvi wewe
Mwenyekiti wenu mama Samia aliwataka mjini hoja, muache vioja na vihoja. Cha ajabu ndiyo mmezidi kujenga vihoja na kuleta vioja.
 
Aendelee tu kuongua na moto kwa madhambi yake aliyoyafanya dhidi ya watanzania. Wanaomkumbuka kwa mazuri ruksa LAKINI wanaomkumbuka kwa mabaya nao lazima watoe nyongo yao.
Ameacha wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, umalaya kwa akina Jokate na Kairuki, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.

Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari.

Nani atanikamata leo nikisema Magufuli alikuwa muuaji? Hakuna kwa vile Rais SSH anakubali kukosolewa kwa misingi ya sheria.

Magufuli was controversial figure.
1.Alitangaza vita vya vyeti fake huku akilinda baadhi ya watumishi wakuu na idara nyingine wasiguswe.
2.Alihubiri kuangamiza rushwa lakini akiwaruhusu traffic police kupewa pesa za hongo alioiita pesa ya kupiga brush viatu.
3.Alianzisha elimu bure matokeo yake darasa la kwanza wanafunzi kwenye chumba kimmoja walijaa zaidi ya 200.
Hata pale vilipopatikana au kujenga vyumba vya madarasa hakuajiri walimu wapya kuendana na wingi wa madarasa.
4.Aliomba mkopo/msaada wa Elimu wenye thamani ya 400 million dollars uliokuwa na sharti ya kuruhusu waliozaa kurudi shuleni kuendelea na masomo,lakini ulipokuwa tiyari akauruka kimanga.

5.Akiwa waziri wa miundo mbinu wakati wa Jk,aliufagilia mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,lakini alipoukwaa uraisi akaukana kabisa.
6.Alitumia pesa nyingi kujenga uzio wa kuzunguka eneo zima la madini ya Tanzanite huko Merelani ili kudhibiti utoroshaji wa madini hayo,kumbe wajanja wakachimba mahandaki kama ya wa Palestine ukanda wa Gaza,wakaendelea kutorosha madini hayo kwa njia za chini kwa chini.

7.Alihamia Dodoma kwa kuhamisha serikali yake na Taasisi mbali mbali tokea Dar kwa kile alichodai makao makuu ya nchi,lakini kwa nyakati mbali mbali akaifanya Chato kufanya shughuli mbali mbali za kitaifa hata kuliko Dodoma.
8.Hakupenda kukosolewa lakini yeye akiwakosoa waliomtangulia na viongozi wengine kwenye serikali yake.
9.Alikataa safari za kwenda nchi za nje za mbali akidai anapunguza matumizi kumbe alikuwa na kitufe Pacemaker chenye kurekebisha mapigo ya moyo ambacho kinaweza kuadhirika sana kwasababu ya mitambo ya electronic ya ndege.
10.Tuliambiwa tunadai ushuru wa makanikia sh 360 trillion tukaambuli sh 700 billion hata trillioni mmoja haijafika.
Kibaya zaidi Barrick waliitoa pesa hiyo kwa awamu wakisema ni msaada wa maendeleo wala si kodi ya makanikia hawadaiwi.
11.Alituhamasisha ataleta maendeleo kwa wananchi wote, kuwa hajali mwananchi anatokea chama gani lakini wakati mwingine akidai kuwabomolea nyumba ambao hawakumchagua.
12.Takwimu za viwanda alivyodai 8000 vimejengwa wakati wa utawala wake haikuwa sahihi.
Ubongo umejaa mavi hakuna kitu
 
Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.

Lile jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.

Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.

Huko liliko life tena.
mtu ulishajiita sexless unafikiri akili itakuwepo basi..
 
Back
Top Bottom