johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe na Dialo dugu moja una swing upepo unakoelekea. Hapa kati umempa punch za kutosha Magufuli kwenda na upepo ulivokuwa.Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia
Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele.
John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa.
Rip.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
🤣🤣 asilimia 23 imefanya wamkumbukeBinadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia
Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele.
John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa.
Rip.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ni kweli mkuu zile tozo sio dhuluma kabisa ni haki yetu kutozwa hela ambayo inakoenda hatuna haki ya kukujua 😂Unapigwa mwingi Sana, hakika tulicheleweshwa kweli kweli....!
Serikali ya awamu ya Tano ilitupora Sana, iliwekeza katika kukusanya fedha za dhuluma.
Serikali ya awamu ya Sita haitaki fedha za dhuluma na haitataka kamwe Bali inahakikisha wananchi wenyewe wanalipa Kodi kadri watakavyo.
Na wananchi baada ya kufurahishwa na Hilo wakasema watatoa zawadi kwa Serikali hii inayopenda wananchi wake Kila wanunuapo mafuta, Kila watumapo mabilioni kwa wazee/wazazi wao walioko vijijini na Kila wanunuapo umeme.
Hakika furaha iliyopotea miaka mitano iliyopita imerejea kwa watanzania.
Magufuli yeye alipumguza payee take home ikaongezeka mara dufu halafu mfumuko wa bei ulikuwa chini sanaWengi tu wanamkumbuka kimyakimya,wanaona aibu kusema hafharani kwamba alikuwa shujaa wetu.
Muda utawaondolea aibu sikumoja.
Tunakukumbuka kwa kusema kweli kwako ... Pumzika kwa amani mwambaBinadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia
Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele.
John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa.
Rip.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Vipi hayo matukio mlikuwa mnafanya wote?Bora haya yanayotokea sasa kuliko mambo ya hovyo lililoyafanya lile jini lenu.
Hilo jini lenu lilikuwa:-
1. Linaua watu.
2. Linateka watu
3. Linapiga watu risasi.
4. Linapora fedha za watu.
Yaani hata sukari iuzwe shilingi milioni 3 kwa kilo, kamwe sitokaa nilikumbuke jibwa lile.
Huko liliko life tena.
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Nenda kwenye mikutano ya Makonda makalio makubwa ukaulize hilo swali.Vipi hayo matukio mlikuwa mnafanya wote?
Dikteta John pombe magufuliKwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania.
1. Umeme Shida
2. Sukari Shida.
3. Wenye pesa wanafanya chochote.
4. Miradi imekwama.
5. RUSHWA na ufisadi Hadi kinyaa
6. Serikali imekuwa ya anasa.
7. Kila kitu kimepanda bei zaidi ya maradufu
We miss u uncle,
Come back please in 2025
Wewe ndiye uliye andika hizo tuhuma....... kwani Makonda ndiye aliye andika?Nenda kwenye mikutano ya Makonda makalio makubwa ukaulize hilo swali.