Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

Wewe ulimpenda sana Magufuli
 
Umeandika upuuzi..mtu aliyelisababishia taifa madhira mara mbili kabla ya kuja kwake unawezaje kumsifia? Mfalme Sauli alikuwa mfalme wa kwanza kwa taifa la Israeli na Mungu alimchagua..nini kilimtokea?
Ndicho kilichomtokea Magufuli..! Heri mwisho mwema kuliko mwanzo mwema!
 
Sifa nyingi ambazo tunajivuni hivi sasa ni matunda ya awamu ya 5
 
Kilichomtokea Magufuli kitamtokea kila mwanadamu. We jitoe ufahamu tu. Uzuri jambo la kifo Mungu ameliweka siri yake tu. Ila ni haki ambayo kila mtu ataonja. Ni upuuzi na upagani kufurahia kifo cha mtu, tena kipenzi cha watu. Jitathmini
 
..nimekutolea mfano wa mfalme Sauli watu walimpenda kwa sababu alikuwa hodari kupigania watu wake..PRIDE/KIBURI kilimponza..maneno aliambiwa ya mwisho, KUTII NI BORA ZAIDI YA KUTOA DHABIHU..Mungu aliondoa ulinzi wake kwake mfalme hata Nabii Samwel alipomtetea kwa kuugua sana, aliambiwa NIMEMKATAA SAULI..!
Pamoja na mazuri yote Magufuli alifanya na kupendwa sana..KIBURI cha kusifiwa kilimponza Mungu akachora mstari, na alishaambiwa hakusikia, uchaguzi wa 2020 ulionyesha kiwango cha juu cha kiburi cha madaraka..yuko wapi sasa!
Kifo kipo kwa kila mtu, lakini jifunze kutenda mema kwa wote! na hasa unapokuwa kiongozi..! Hayo aliyokuwa anayakataa, wizi, ufisadi, uzembe nk yote yamerudi mara 5 zaidi na hao aliowafukuza kuwa hawafai kuwa viongozi wote wamerudi..wewe huyaoni hayo? unamsifu kwa lipi hasa km Mungu aliamua kumtoa kwenye hiyo kazi? Sasa kwa vile wewe ni kipofu kiroho huwezi kuona na kutafsiri matukio..usidhani na wengine ni km wewe.
 
Kilichomtokea Magufuli kitamtokea kila mwanadamu. We jitoe ufahamu tu. Uzuri jambo la kifo Mungu ameliweka siri yake tu. Ila ni haki ambayo kila mtu ataonja. Ni upuuzi na upagani kufurahia kifo cha mtu, tena kipenzi cha watu. Jitathmini
Umemaliza !
Kila mtu Atakwendra siku ikiwadia halafu utakuwa ni mwisho mwema tu !
Magufuli amefungua macho na Akili za watu zilizokuwa zimelala !
 
Je na wewe ukifa Mungu hatakuwa amekukataa ?
 
Sio Kweli
 
Je na wewe ukifa Mungu hatakuwa amekukataa ?
..elewa kwanza nini kilitokea kwake, mimi si kiongozi yeye alikuwa Rais wakati uchaguzi wa 2020 unaharibiwa, binadamu unapopata nafasi kuongoza wengine Mungu anakuelekeza mambo ya kufanya..tenda HAKI usipofanya vile Mungu anataka, you r of your own! Umeelewa? Si kila kifo cha mtu Mungu amemkataa..
 
Kama wewe unamkunbuka ni wewe
 
Ungeweka na clipp yake ya mtanikumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…