REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Tunakumbuka uliposhika uenyekiti wa chama uliunda tume ikatembea inchi nzima kukagua mali za chama na ukataka chama kijiendeshe kwani kina vyanzo vingi vya mapato na hilo tuliliona wale wote waliopanga maeneo ya chama walilipa kwa control number ili kuepuka mambo tuliyaona jamaa pale kwenye harambee kuepuka kundi fulani fulani kuhodhi chama na kuendesha mambo yao.
Tusamehe Magufuli tulikukosea sana.
Leo hii CCM yakuitisha harambee na kuchangiwa mali za chama zinafanya nini mapato ya mali ya chama yanaenda wapi inasikitisha sana tena sana.
Tusamehe Magufuli tumeanza kumbuka kauli yako nchi hii tajiri na tumeona mtu anachangia bilion kumi, milion mia tano uyu ni mtu mmoja mmoja.