Hayati Magufuli Mungu akurehemu na tusamehe watanzania tulikukosea sana

Hayati Magufuli Mungu akurehemu na tusamehe watanzania tulikukosea sana

Chama cha Maoinduzi kilipofikia ni marehemu anayetembea.
 
Kwani hujui kuwa Kulipa Faini ni sehemu ya kuadhibu Muhalifu. Mbona una ufinyu wa kufikilia na kufahamu mambo ya kawaida tu, hata kule kwetu kijijini mtu alikuwa akikosa anaamuliwa kulipa faini ya Kibuyu cha Rubisi na inakuwa ni sehemu ya adhabu tosha kulingana na Kosa lake. So Utaratibu wa Plea-Bargain uliotumiwa na JPM upo kisheria na nisehemu ya kutatua shauri .
MTU kaiba matilioni ya hela unamuachia kwa kulipa tubiliona kadhaa that's is insanity.

Na huo ndo ujinga mkubwa wa wanasiasa .


Yaani unaiba matlion kadhaa then unakamatwa unalipa faini bilioni chache unaachiwa !!!
 
Katika kitu nmejifunza katika haya maisha yupe unayemwona mbaya wako katika haya maisha, mbali na ubaya wake unaouwona kwako kuna kitu kizuri ambacho huwa amekufanyi katika haya maisha sema kitu hicho huwa kinajifich kutokana n wewe huwa unaona upande wake mmoj tuu w mabaya

Kitu kingine ni kama polepole anavyosema yeye sio mchimbua makaburi kwaiyo aliyefariki huwa tusimzungumzie sababu hayupo kujibu hoja zitolewazo
Anaogopa kusema kwasababu nayeye ameshiriki huo ndiyo ukweli
 
Dangote ana sign mkataba wa kujenga kiwanda cha Mbolea kitakacho gharimu $3 billion na serikali ya Ethiopia kabla week hii aijaisha.

Kiwanda ambacho aliahidi kwa Magufuli atakijenga Tanzania. Lakini baada ya wahuni na umeme wa uhakika kupotea kabadilishia gia angani.

Kiwanda ambacho kitakuwa mzalishaji mkubwa wa mbolea Africa nzima. Sasa imagine costs ambazo nchi ingeokoa kuagiza mbolea.

Kiwango cha gas ambacho nchi ingeuza kwa Dangote ni bidhaa muhimu kwenye uzalishaji, ajira na si ajabu angeteneza umeme wake na ziada kuuza kwenye gridi ya taifa.

Walichofanya hadi Dangote kwenda Ethiopia wanajua wenyewe huko serikalini; mradi tu watu wabaki na tender zao za kuagiza mbolea.
 
Tunakumbuka uliposhika uenyekiti wa chama uliunda tume ikatembea inchi nzima kukagua mali za chama na ukataka chama kijiendeshe kwani kina vyanzo vingi vya mapato na hilo tuliliona wale wote waliopanga maeneo ya chama walilipa kwa control number ili kuepuka mambo tuliyaona jama pale kwenye harambee kuepuka kundi furani furani kuhodhi chama na kuendesha mambo yao

Tusamehe Mangufuli tulikukosea sana .

Leo hii ccm yakuitisha harambee na kuchangiwa mali za chama zinafanya nini mapato ya mali ya chama yanaenda wapi inasikitisha sana tena sana

Tusamehe magufuli tumeanza kumbuka kauli yako nchi hii tajiri na tumeona mtu anachangia bilion kumi, milion mia tano uyu ni mtu mmoja mmoja.
Wewe umechangia milioni ngapi?
 
Mapato ya ubunge na udiwani tu yalikua yanatosha sema ulafi tu!
 
Ila ameandika ukweli, ccm imeiba mali za serikali kuanzia viwanja vya mipira, kumbi za starehe, maeneo ya wazi lakini leo wapo mlimani city kukamua watanzania, huoni kama Magufuli alikuwa sahihi?
Don't trust politicians hakuna Mwanasiasa ambaye amenyooka ndani ya sisiemu.

Ukiangalia Mali alizonanzo JPM na ukaangalia kipato chake unaona kabisa haviendani.
 
Walimwambia mzee malizia ule mchakato wa katiba, yeye akaona ule utamu wa katiba mh akaona hapana Bora akomae nayo.
 
Back
Top Bottom