Hayati Magufuli Mungu akurehemu na tusamehe watanzania tulikukosea sana

Hayati Magufuli Mungu akurehemu na tusamehe watanzania tulikukosea sana

Ila ameandika ukweli, ccm imeiba mali za serikali kuanzia viwanja vya mipira, kumbi za starehe, maeneo ya wazi lakini leo wapo mlimani city kukamua watanzania, huoni kama Magufuli alikuwa sahihi?
Uyo haelewi kitu yupo kuimba iyena iyena watunahoji vitu vya msingi yeye analeta porojo
 
Tunakumbuka uliposhika uenyekiti wa chama uliunda tume ikatembea inchi nzima kukagua mali za chama na ukataka chama kijiendeshe kwani kina vyanzo vingi vya mapato na hilo tuliliona wale wote waliopanga maeneo ya chama walilipa kwa control number ili kuepuka mambo tuliyaona jamaa pale kwenye harambee kuepuka kundi fulani fulani kuhodhi chama na kuendesha mambo yao.

Tusamehe Magufuli tulikukosea sana.

Leo hii CCM yakuitisha harambee na kuchangiwa mali za chama zinafanya nini mapato ya mali ya chama yanaenda wapi inasikitisha sana tena sana.

Tusamehe Magufuli tumeanza kumbuka kauli yako nchi hii tajiri na tumeona mtu anachangia bilion kumi, milion mia tano uyu ni mtu mmoja mmoja.
The man, the myth, the legend.
 
Magufuli alikua mbele ya Mda sana bahati mbaya alizaliwa kwenye nchi ina wapumbavu wengi sana yule kila mwenye mapenzi mema na Nchi tullitakiwa kujivunia Magufuli. Kuna wahuni walitengeneza propaganda chafu za kumchafua Magufuli hii na chadema haiwezi kukwepa kupitia Mbowe walichoweza wahuni kwa Magufuli kwanza walimgombanisha na Lissu chadema na zitto kabwe na Fatuma karume na Kigogo ndo walikua mstari wa mbele kulisha watu propaganda
 
Dangote ana sign mkataba wa kujenga kiwanda cha Mbolea kitakacho gharimu $3 billion na serikali ya Ethiopia kabla week hii aijaisha.

Kiwanda ambacho aliahidi kwa Magufuli atakijenga Tanzania. Lakini baada ya wahuni na umeme wa uhakika kupotea kabadilishia gia angani.

Kiwanda ambacho kitakuwa mzalishaji mkubwa wa mbolea Africa nzima. Sasa imagine costs ambazo nchi ingeokoa kuagiza mbolea.

Kiwango cha gas ambacho nchi ingeuza kwa Dangote ni bidhaa muhimu kwenye uzalishaji, ajira na si ajabu angeteneza umeme wake na ziada kuuza kwenye gridi ya taifa.

Walichofanya hadi Dangote kwenda Ethiopia wanajua wenyewe huko serikalini; mradi tu watu wabaki na tender zao za kuagiza mbolea.
Magu alikua na Mabaya yake ila Mazuri yalikua mengi sana Magu akutaka ubabaishaji ukajanja ndo maana wakandarasi kipindi cha Magu hawawezi kumsahau. Unafanya kazi yako nzuri unalipwa wahuni wahuni wazee wa short cut Magu ndo alilala nao mbele na ndo wengi wanaomchukia
 
Back
Top Bottom