REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Huu sasa unafiki
Duh,Tunakumbuka uliposhika uenyekiti wa chama uliunda tume ikatembea inchi nzima kukagua mali za chama na ukataka chama kijiendeshe kwani kina vyanzo vingi vya mapato na hilo tuliliona wale wote waliopanga maeneo ya chama walilipa kwa control number ili kuepuka mambo tuliyaona jama pale kwenye harambee kuepuka kundi furani furani kuhodhi chama na kuendesha mambo yao
Tusamehe Mangufuli tulikukosea sana .
Leo hii ccm yakuitisha harambee na kuchangiwa mali za chama zinafanya nini mapato ya mali ya chama yanaenda wapi inasikitisha sana tena sana
Tusamehe magufuli tumeanza kumbuka kauli yako nchi hii tajiri na tumeona mtu anachangia bilion kumi, milion mia tano uyu ni mtu mmoja mmoja.
Tunatakiwa kuja na mbinu ili matajiri wajue wanapaswa kuwa upande wa maskini ili mambo yao yaendeChama kimekamatwa na matajiri. Watanzania masikioni hatuna chetu
Hilo ndio picha la kutisha magufuli tutamkumbuk iwe kwa hiyari au lazimaUwezi kusema unafiki wakati alikuwa anatuambia tumuombee hii nchi ina wahuni wengi tukawa tunakaza mafuvu yetu leo si tunajionea mambo hadharani wale wezi walioenda mpaka jera unawaona wapo kwenye harambee wanachangia wewe huogopi
Viongozi wanaotakiwa kutuongoza twende huko ndio hao wanaowakumbatia matajiri.Tunatakiwa kuja na mbinu ili matajiri wajue wanapaswa kuwa upande wa maskini ili mambo yao yaende
Kama aliwapeleka Jela mbona hawakufungwa wala kuhukumiwa ?Uwezi kusema unafiki wakati alikuwa anatuambia tumuombee hii nchi ina wahuni wengi tukawa tunakaza mafuvu yetu leo si tunajionea mambo hadharani wale wezi walioenda mpaka jera unawaona wapo kwenye harambee wanachangia wewe huogopi
Katika kitu nmejifunza katika haya maisha yupe unayemwona mbaya wako katika haya maisha, mbali na ubaya wake unaouwona kwako kuna kitu kizuri ambacho huwa amekufanyi katika haya maisha sema kitu hicho huwa kinajifich kutokana n wewe huwa unaona upande wake mmoj tuu w mabayaTunakumbuka uliposhika uenyekiti wa chama uliunda tume ikatembea inchi nzima kukagua mali za chama na ukataka chama kijiendeshe kwani kina vyanzo vingi vya mapato na hilo tuliliona wale wote waliopanga maeneo ya chama walilipa kwa control number ili kuepuka mambo tuliyaona jama pale kwenye harambee kuepuka kundi furani furani kuhodhi chama na kuendesha mambo yao
Tusamehe Mangufuli tulikukosea sana .
Leo hii ccm yakuitisha harambee na kuchangiwa mali za chama zinafanya nini mapato ya mali ya chama yanaenda wapi inasikitisha sana tena sana
Tusamehe magufuli tumeanza kumbuka kauli yako nchi hii tajiri na tumeona mtu anachangia bilion kumi, milion mia tano uyu ni mtu mmoja mmoja.
Alishawasemehe Nyote Mliomkosea, kwa maneno, kwa vitendo na kwa Kutotimiza Wajibu ! RIP JPM ! You will remain our Hero of all Time ! Greetings to All there !Tunakumbuka uliposhika uenyekiti wa chama uliunda tume ikatembea inchi nzima kukagua mali za chama na ukataka chama kijiendeshe kwani kina vyanzo vingi vya mapato na hilo tuliliona wale wote waliopanga maeneo ya chama walilipa kwa control number ili kuepuka mambo tuliyaona jama pale kwenye harambee kuepuka kundi furani furani kuhodhi chama na kuendesha mambo yao
Tusamehe Mangufuli tulikukosea sana .
Leo hii ccm yakuitisha harambee na kuchangiwa mali za chama zinafanya nini mapato ya mali ya chama yanaenda wapi inasikitisha sana tena sana
Tusamehe magufuli tumeanza kumbuka kauli yako nchi hii tajiri na tumeona mtu anachangia bilion kumi, milion mia tano uyu ni mtu mmoja mmoja.
Kwani hujui kuwa Kulipa Faini ni sehemu ya kuadhibu Muhalifu. Mbona una ufinyu wa kufikilia na kufahamu mambo ya kawaida tu, hata kule kwetu kijijini mtu alikuwa akikosa anaamuliwa kulipa faini ya Kibuyu cha Rubisi na inakuwa ni sehemu ya adhabu tosha kulingana na Kosa lake. So Utaratibu wa Plea-Bargain uliotumiwa na JPM upo kisheria na nisehemu ya kutatua shauri .Kama aliwapeleka Jela mbona hawakufungwa wala kuhukumiwa ?
Ilikuaje akawaachia na kula pesa zao?
Mfano huyo singasinga alimpatia pesa akamuachia.