Hayati Magufuli Mungu akurehemu na tusamehe watanzania tulikukosea sana

Chama cha Maoinduzi kilipofikia ni marehemu anayetembea.
 
MTU kaiba matilioni ya hela unamuachia kwa kulipa tubiliona kadhaa that's is insanity.

Na huo ndo ujinga mkubwa wa wanasiasa .


Yaani unaiba matlion kadhaa then unakamatwa unalipa faini bilioni chache unaachiwa !!!
 
Anaogopa kusema kwasababu nayeye ameshiriki huo ndiyo ukweli
 
Dangote ana sign mkataba wa kujenga kiwanda cha Mbolea kitakacho gharimu $3 billion na serikali ya Ethiopia kabla week hii aijaisha.

Kiwanda ambacho aliahidi kwa Magufuli atakijenga Tanzania. Lakini baada ya wahuni na umeme wa uhakika kupotea kabadilishia gia angani.

Kiwanda ambacho kitakuwa mzalishaji mkubwa wa mbolea Africa nzima. Sasa imagine costs ambazo nchi ingeokoa kuagiza mbolea.

Kiwango cha gas ambacho nchi ingeuza kwa Dangote ni bidhaa muhimu kwenye uzalishaji, ajira na si ajabu angeteneza umeme wake na ziada kuuza kwenye gridi ya taifa.

Walichofanya hadi Dangote kwenda Ethiopia wanajua wenyewe huko serikalini; mradi tu watu wabaki na tender zao za kuagiza mbolea.
 
Wewe umechangia milioni ngapi?
 
Mapato ya ubunge na udiwani tu yalikua yanatosha sema ulafi tu!
 
Ila ameandika ukweli, ccm imeiba mali za serikali kuanzia viwanja vya mipira, kumbi za starehe, maeneo ya wazi lakini leo wapo mlimani city kukamua watanzania, huoni kama Magufuli alikuwa sahihi?
Don't trust politicians hakuna Mwanasiasa ambaye amenyooka ndani ya sisiemu.

Ukiangalia Mali alizonanzo JPM na ukaangalia kipato chake unaona kabisa haviendani.
 
Walimwambia mzee malizia ule mchakato wa katiba, yeye akaona ule utamu wa katiba mh akaona hapana Bora akomae nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…