Ukiulizwa ushahidi wa China uko nao!? Au na wwe ni walewale wa kulalamika tu!!?MARA NI kama NYERERE MARA NI SANKARA MWISHO MTASEMA NI MUNGU
Magufuli hafanani na yeyote yule Sankara na Nyerere Walikuwa WAZALENDO wa Kweli hawakupeleka Fedha za Walipa kodi China
Nani akumbuke muhaji mkubwa huyuThomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya wanyonge na kulinda rasilimalinza taifa lake.
Kwa Tanzania ni hayati Magufuli pekee aliyefanya kama Thomas Sankara. Alidhibiti upatikanaji wa mapato na kuhakikisha mali za umma zinatumika vyema. Kwa miaka mitano tu alionyesha makubwa. Hii ni sababu alifanana kwa kila kitu na Thomas Sankara.
Mimi kwa niaba ya Watanzania wote niiombe radhi familia ya Thomas Sankara kwa Mtanzania mwenzetu Muuza Kangala ambaye kutokana na matatizo pengine ya kiafya amemfananisha Marehemu Sankara na vitu vya ajabu.Acha kumtukanisha Thomas Sankara wewe pimbi. Huwezi kumfananisha mwizi wa raslimali za Tanzania na Thomas Sankara.
Sankara hakuwa mwizi wala mwongo Wala alikuwa haui wapinzani kama Magufuli
Thomas Sankara hakuwa mwizi!Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya wanyonge na kulinda rasilimalinza taifa lake.
Kwa Tanzania ni hayati Magufuli pekee aliyefanya kama Thomas Sankara. Alidhibiti upatikanaji wa mapato na kuhakikisha mali za umma zinatumika vyema. Kwa miaka mitano tu alionyesha makubwa. Hii ni sababu alifanana kwa kila kitu na Thomas Sankara.
Magufuli atakumbukwa sana kwa kuwalinda waliompiga Lisu mabomu na wale wote waliopora ushindi wa vyama vya upinzani 2020.Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya wanyonge na kulinda rasilimalinza taifa lake.
Kwa Tanzania ni hayati Magufuli pekee aliyefanya kama Thomas Sankara. Alidhibiti upatikanaji wa mapato na kuhakikisha mali za umma zinatumika vyema. Kwa miaka mitano tu alionyesha makubwa. Hii ni sababu alifanana kwa kila kitu na Thomas Sankara.
Katika kulinda maslahi ya umma je ni pamoja na fedha za plea bargain?🤔Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya wanyonge na kulinda rasilimalinza taifa lake.
Kwa Tanzania ni hayati Magufuli pekee aliyefanya kama Thomas Sankara. Alidhibiti upatikanaji wa mapato na kuhakikisha mali za umma zinatumika vyema. Kwa miaka mitano tu alionyesha makubwa. Hii ni sababu alifanana kwa kila kitu na Thomas Sankara.
Kweli Mkuu vijana hawasomi historian wakuvuta bangi na kula makande ndiyo wanachukua vitu vya hovyo na kuvifananisha na watu wenye heshima zao.Mimi kwa niaba ya Watanzania wote niiombe radhi familia ya Thomas Sankara kwa Mtanzania mwenzetu Muuza Kangala ambaye kutokana na matatizo pengine ya kiafya amemfananisha Marehemu Sankara na vitu vya ajabu.
Naomba nichukue aya ya mwisho!Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya wanyonge na kulinda rasilimalinza taifa lake.
Kwa Tanzania ni hayati Magufuli pekee aliyefanya kama Thomas Sankara. Alidhibiti upatikanaji wa mapato na kuhakikisha mali za umma zinatumika vyema. Kwa miaka mitano tu alionyesha makubwa. Hii ni sababu alifanana kwa kila kitu na Thomas Sankara.
Kutakuwa na mapungufu katika taarifa zako ; Thomas wa watu kupigwa risasi, kuuwawa hovyo na kupotezwa?Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya wanyonge na kulinda rasilimalinza taifa lake.