Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
K
Kiingereza chake tu kinaonesha uwezo wake wa akili! Ahahahahaha!!!!Ww una akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiingereza chake tu kinaonesha uwezo wake wa akili! Ahahahahaha!!!!Ww una akili
Hivi ndio vitabu vya kununua sasa 😍😍Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Kama ambavyo mliwanunua kina Ngurumo,Navile Meena, Jesse Kwayu,na kitabu kikawadodea kinoma
Ujinyonge kwaajili ya MFU? hahahaha
Uadilifu wa mwandishi unaweza kutoa changamoto juu ya Credibility ya andiko lakeKilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Wewe Mwehu Malawi kwenye Demokrasia wametuacha mbali sana!Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Aliyemuua Magufuli anajulikana,ni suala la muda tu,atamfuata!Nchi nyingi zinaamini Magufuli aliuliwa na wazungu.
Juzi kati nilikuwa South Sudan, hawaamini kabisa kwamba alikufa tu hivihivi.
Hapana ngoja tusome cha Professor maana huwa hawaandiki upuuzi kama wakina Kibanda na wenzake.Kilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Hapa kwao kwenyewe wengi wanamkubali ukilinganisha na wasiomkubaliNashauri: ule msemo was nabii hakubaliki kwao sirikali wafanye amendment Ila chamoto tulikiona
Asante [emoji15][emoji15][emoji15]
Wewe Mwehu,Wamalawi wanajitambua,mmezoea kununuliwa basi mnafikiri kila mtu ananunulika.Hakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Mjinga tu,Lissu ndiyo ana akili na Heche kidogo.Unaridhiana na Wahuni wa CCM kwa lipi!Mbowe hayupo kwenye kundi la wajingawajinga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kiingereza chenyewe hajui,sasa ataelewa kitabu kilichoandikwa na Professor!!Kajifunze kwanza Kingereza.
Hakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Nenda kwa Ras Simba atakufundisha Kiingereza kwa Bei nafuu!!Kile chuo cha Chato kimezinduliwaga?! Tuanzie hapo kwanza.
Mbowe hayupo kwenye kundi la wajingawajinga.
Mkuu nimemsikia Mpina anasema kuna mkataba wa Kimangungo ambao Serikali ya Samia inataka kuingia na Dubai kuendesha Bandari yetu amabapo inaonekana Mwarabu ndiyo atakuwa na sauti.Mpina anasema ni intergovernmental Agreement na siyo kama ule wa PPP Agreement kati TICTS na TPA.Hii imekaaje!!Wakati team visasi mkihangaika na kupigana na Marehemu!
Wakati team visasi mkiwa bado msibani kwa kinara wa visasi!
Wenzenu wasomi wa ukweli nchini Malawi, wanamuenzi kwa kumzindulia kitabu chake chenye hadhi ya kimataifa
Tarehe-9-June 2023.
Na sio ule uchafu wa Kibanda na genge la wasakatonge wenzake!
Huku ndio kutambulika kimataifa,sio kwa kuiuza nchi Dubai.
Aibu ingine hii kwenu wasakatonge wachumia tumbo wa kibongo!
Nimemaliza mengine picha itajieleza!View attachment 2633825
Subiria majibu ya misukule ya malidhianoProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Wahariri wenu kumbe someniKilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Ungeainisha upuuzi wa kina meena kwenye kitabu chao kwa ama kuandika cha kwako/ kujibu hoja za andiko lao au kukisoma na kufafanua basiHapana ngoja tusome cha Professor maana huwa hawaandiki upuuzi kama wakina Kibanda na wenzake.