Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

Hivi ndio vitabu vya kununua sasa 😍😍
 
Kama ambavyo mliwanunua kina Ngurumo,Navile Meena, Jesse Kwayu,na kitabu kikawadodea kinoma

Yaani ukitafuta hayo majina kwenye professional writers huwezi mkuta hata mmoja. Hamna hata mmoja kati ya majina hayo aliyewahi ku publish paper yoyote kwenye majarida ya kitaalam.
 
Kilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Uadilifu wa mwandishi unaweza kutoa changamoto juu ya Credibility ya andiko lake
 
Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Wewe Mwehu Malawi kwenye Demokrasia wametuacha mbali sana!
Kwaiyo Wana akili,raia wake wanajitambua siyo sisi Watanzania tumelala.
 
Nchi nyingi zinaamini Magufuli aliuliwa na wazungu.

Juzi kati nilikuwa South Sudan, hawaamini kabisa kwamba alikufa tu hivihivi.
Aliyemuua Magufuli anajulikana,ni suala la muda tu,atamfuata!
 
Kilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Hapana ngoja tusome cha Professor maana huwa hawaandiki upuuzi kama wakina Kibanda na wenzake.
 
Wewe Mwehu,Wamalawi wanajitambua,mmezoea kununuliwa basi mnafikiri kila mtu ananunulika.
 
Mkuu mbona unaumia sana. Magu alikuwa mtu pouwa sana
 
Mkuu nimemsikia Mpina anasema kuna mkataba wa Kimangungo ambao Serikali ya Samia inataka kuingia na Dubai kuendesha Bandari yetu amabapo inaonekana Mwarabu ndiyo atakuwa na sauti.Mpina anasema ni intergovernmental Agreement na siyo kama ule wa PPP Agreement kati TICTS na TPA.Hii imekaaje!!
 
Subiria majibu ya misukule ya malidhiano
 
Kilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Wahariri wenu kumbe someni
 
Hapana ngoja tusome cha Professor maana huwa hawaandiki upuuzi kama wakina Kibanda na wenzake.
Ungeainisha upuuzi wa kina meena kwenye kitabu chao kwa ama kuandika cha kwako/ kujibu hoja za andiko lao au kukisoma na kufafanua basi
Vinginevyo unaangukia kwenye lile kundi la wajinga wq kihalaiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…