Wasipomsamehe bila shaka wataishi milele?Hakuna mtu anayechukiwa bila sababu. Yanayochukiwa ni matendo juu ya wengine hasa unapovunka sheria.hata zingejengwa barabara ngapi lakini wazazi wa
Anzory gwanda
Ben sanane
Amwilin
Na Tundu lisu mwenyewe
Hawatalisamehe dubwasha lile
Wasipomsamehe bila shaka wataishi milele?
Aliyeua kwa upanga alikufa kwa covd hahahaWasipomsamehe bila shaka wataishi milele?
Polepole ndio kaandika mkuuProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Umsamehe mtu aliyeua wasio na hatia?Wasipomsamehe bila shaka wataishi milele?
Hamjawahi kufeli katika kubumba uongo Mungu ni mwema kuna siku Mungu atajibu maombi yetu dhidi ya haters wa Hayati Magufuli.Pia kwa sasa Buselesele naelekea Chato kuona kaburi la Mwamba huyu maana ni utaratibu wangu kila mwaka nifike mahali alipolala Rais wangu Mpendwa MAGUFULIPolepole ndio kaandika mkuu
Akilete tukisambaze!!!!!Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
UbarikiweWote mliocoment mko sawa kwa njinsi akili zenu zinavyowatuma lakini unakuja wakati Magufuli ataandikwa kwa wino wa dhahabu na wana CCM, aliishi kipindi kifupi katika utawala lakini yale aliyoyafanya yatakuwa reference kwa miaka mingi iyayo.hakuna aliye perfect lakini mzani wa maovu yake na wingi wa uzalendo wake utaeleza ni upande upi unazama na upi unainuka time will tel.
Vp mungu atajibu maombi ya mjane wa Ben saanane piaHamjawahi kufeli katika kubumba uongo Mungu ni mwema kuna siku Mungu atajibu maombi yetu dhidi ya haters wa Hayati Magufuli.Pia kwa sasa Buselesele naelekea Chato kuona kaburi la Mwamba huyu maana ni utaratibu wangu kila mwaka nifike mahali alipolala Rais wangu Mpendwa MAGUFULI
Your freaking fragile ego is hurt simply because one took an interest in writing about JPM, u must be a freaking retardOngelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Mkuu unatupangaWote mliocoment mko sawa kwa njinsi akili zenu zinavyowatuma lakini unakuja wakati Magufuli ataandikwa kwa wino wa dhahabu na wana CCM, aliishi kipindi kifupi katika utawala lakini yale aliyoyafanya yatakuwa reference kwa miaka mingi iyayo.hakuna aliye perfect lakini mzani wa maovu yake na wingi wa uzalendo wake utaeleza ni upande upi unazama na upi unainuka time will tel.
The beneficiary of ghost workers!!!! Achana naye!Wewe unajua nini ? Tatizo mnapenda sana amini vitu bila ushahidi wowote
Wewe chukia tu lakini ukweli haufichiki. Hata Yesu alichukiwa na wengi pamoja na kwamba hakukuwa na mtu wa kutoa ushahidi wo wote wa jambo baya alilolifanya. Vivyo hivyo na wewe juu ya JPM.Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!