Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

Hakuna mtu anayechukiwa bila sababu. Yanayochukiwa ni matendo juu ya wengine hasa unapovunka sheria.hata zingejengwa barabara ngapi lakini wazazi wa
Anzory gwanda
Ben sanane
Amwilin
Na Tundu lisu mwenyewe
Hawatalisamehe dubwasha lile
Wasipomsamehe bila shaka wataishi milele?
 
Siki akitokea tena mzalendo ni lazima awekewe mbinu thabiti za kiulinzi.
 
Mfu wa rondo anacharazwa na fimbo toka malawi
 
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA

View attachment 2633658
Polepole ndio kaandika mkuu
 
Game Tamu Sana hii ,Sasa turudi kwenye data za mauzo ya vitabu vyote viwili hivyo
 
Wote mliocoment mko sawa kwa njinsi akili zenu zinavyowatuma lakini unakuja wakati Magufuli ataandikwa kwa wino wa dhahabu na wana CCM, aliishi kipindi kifupi katika utawala lakini yale aliyoyafanya yatakuwa reference kwa miaka mingi iyayo.hakuna aliye perfect lakini mzani wa maovu yake na wingi wa uzalendo wake utaeleza ni upande upi unazama na upi unainuka time will tel.
 
Polepole ndio kaandika mkuu
Hamjawahi kufeli katika kubumba uongo Mungu ni mwema kuna siku Mungu atajibu maombi yetu dhidi ya haters wa Hayati Magufuli.Pia kwa sasa Buselesele naelekea Chato kuona kaburi la Mwamba huyu maana ni utaratibu wangu kila mwaka nifike mahali alipolala Rais wangu Mpendwa MAGUFULI
 
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA

View attachment 2633658
Akilete tukisambaze!!!!!
 
Wote mliocoment mko sawa kwa njinsi akili zenu zinavyowatuma lakini unakuja wakati Magufuli ataandikwa kwa wino wa dhahabu na wana CCM, aliishi kipindi kifupi katika utawala lakini yale aliyoyafanya yatakuwa reference kwa miaka mingi iyayo.hakuna aliye perfect lakini mzani wa maovu yake na wingi wa uzalendo wake utaeleza ni upande upi unazama na upi unainuka time will tel.
Ubarikiwe
 
Hamjawahi kufeli katika kubumba uongo Mungu ni mwema kuna siku Mungu atajibu maombi yetu dhidi ya haters wa Hayati Magufuli.Pia kwa sasa Buselesele naelekea Chato kuona kaburi la Mwamba huyu maana ni utaratibu wangu kila mwaka nifike mahali alipolala Rais wangu Mpendwa MAGUFULI
Vp mungu atajibu maombi ya mjane wa Ben saanane pia
 
Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Your freaking fragile ego is hurt simply because one took an interest in writing about JPM, u must be a freaking retard
 
Wote mliocoment mko sawa kwa njinsi akili zenu zinavyowatuma lakini unakuja wakati Magufuli ataandikwa kwa wino wa dhahabu na wana CCM, aliishi kipindi kifupi katika utawala lakini yale aliyoyafanya yatakuwa reference kwa miaka mingi iyayo.hakuna aliye perfect lakini mzani wa maovu yake na wingi wa uzalendo wake utaeleza ni upande upi unazama na upi unainuka time will tel.
Mkuu unatupanga
 
Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Wewe chukia tu lakini ukweli haufichiki. Hata Yesu alichukiwa na wengi pamoja na kwamba hakukuwa na mtu wa kutoa ushahidi wo wote wa jambo baya alilolifanya. Vivyo hivyo na wewe juu ya JPM.
 
Back
Top Bottom