Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

Tumesoma cha "I am the state " kilichoandikwa na wazalendo wa Tanzania wanaomjua wizi wake alipokuwa anapeleka rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge Chato
 
Mkuu umeona lakini kitabu kilivyoshiba kurasa.Siyo kile kipeperushi cha akina Kibanda!
Unaweza ukaandika page 800 zikawa pumba tu na mwingine akaandika page 100 tu zikawa moto.

Je unajuwa kitabu cha J K Nyerere cha "Uongozi Wetu na Hatma ya Tanzania" cha mwaka 1993 kilichochapishiwa Zimbabwe kina kurasa ngapi?
 
Mbona mnawayawaya.
Acha wa so I wa kweli waandike vitabu baada ya kufanya research ya kisomi.
mbona kuna kitabu kinachomponda cha “Iam the State” mlikuwa mnakisifiankila kukicha na watu waliwaacha. Vumilieni au mkaandike kitabu kingine.
 
Tusisahau vilevile kuna Professor mashuhuri wa UDSM alidiriki kujtangaza kuwa aliokotwa kutoka jalalani(UDSM?) na hata kufikia kumtambulisha JPM kama "mheshimiwa mungu" Kwa hiyo kwamba Professor wa huko Malawi ndiyo ameandika hicho kitabu is not an important issue.(The power of money transcends intellectual borders)
 
Lakini wanaomchukia zaidi sio wa kutoka Chadema 😅🙏
Aha!

Wapo Mabwana ya CHADEMA au niseme Mifadhili yao
....wanatumia mgongo wa UChadema.

Hatahivyo, korokoro hizi za upandikizi wa Chuki zimeanzia CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…