Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA

View attachment 2633658
Tumesoma cha "I am the state " kilichoandikwa na wazalendo wa Tanzania wanaomjua wizi wake alipokuwa anapeleka rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge Chato
 
Mkuu umeona lakini kitabu kilivyoshiba kurasa.Siyo kile kipeperushi cha akina Kibanda!
Unaweza ukaandika page 800 zikawa pumba tu na mwingine akaandika page 100 tu zikawa moto.

Je unajuwa kitabu cha J K Nyerere cha "Uongozi Wetu na Hatma ya Tanzania" cha mwaka 1993 kilichochapishiwa Zimbabwe kina kurasa ngapi?
 
Mbona mnawayawaya.
Acha wa so I wa kweli waandike vitabu baada ya kufanya research ya kisomi.
mbona kuna kitabu kinachomponda cha “Iam the State” mlikuwa mnakisifiankila kukicha na watu waliwaacha. Vumilieni au mkaandike kitabu kingine.
 
Hakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Tusisahau vilevile kuna Professor mashuhuri wa UDSM alidiriki kujtangaza kuwa aliokotwa kutoka jalalani(UDSM?) na hata kufikia kumtambulisha JPM kama "mheshimiwa mungu" Kwa hiyo kwamba Professor wa huko Malawi ndiyo ameandika hicho kitabu is not an important issue.(The power of money transcends intellectual borders)
 
Lakini wanaomchukia zaidi sio wa kutoka Chadema 😅🙏
Aha!

Wapo Mabwana ya CHADEMA au niseme Mifadhili yao
....wanatumia mgongo wa UChadema.

Hatahivyo, korokoro hizi za upandikizi wa Chuki zimeanzia CHADEMA
 
Back
Top Bottom