Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kifupi tuwe wazalendo tupende vya kwetu. Si ndio Mkuu?Kilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Huyo Magu kawafanyia nini hadi wamwandike?!Hawezi kuwa puppet kwa kuwa hakuna anachafaidika na Tanzania, puppet ni yule anayefaidika kwa mabwana zake na hufanya chochote kile anachoambiwa na mabwana zake kulinda maslahi.
Mfano mzuri ni Western countries (mabwana) na some shitholes countries in Afrika(puppets)
Watu wake kwani watumishi wa umma hawakuwa watu wake mbona alisigina haki zao za kisheriaProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
Kajifunze kwanza Kingereza.Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Hakuna mtu anayechukiwa bila sababu. Yanayochukiwa ni matendo juu ya wengine hasa unapovunka sheria.hata zingejengwa barabara ngapi lakini wazazi waKifupi tuwe wazalendo tupende vya kwetu. Si ndio Mkuu?
PovuuuHakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Hujaelewa?Kajifunze kwanza Kingereza.
Ni mwafrika mwenzaoHuyo Magu kawafanyia nini hadi wamwandike?!
Huwezi kuita kikaratasi kama hujakisoma na kuandika cha kwako ukizijibu hoja zao kwa data siyo vitishoWale vibaraka wa mafisadi na wauza madawa wameaibika na kikaratasi chao cha kufungia maandazi.
Waafrika wenzake waliomuona kama kauzibe kwenye mianya yao ya kutafuna rasilimali za taifa walishiriki kikamilifuNchi nyingi zinaamini Magufuli aliuliwa na wazungu.
Kile chuo cha Chato kimezinduliwaga?! Tuanzie hapo kwanza.Kajifunze kwanza Kingereza.
Toa mfano wa nchi wa mojaPovuuu
No matter ila Dunia itasoma kitabu kutoka Malawi na tunaomba tutajulishana kipi kimenunuliwa sana kati ya chawalamba asali na Cha Malawi ,Ili game Ili game tamtam sanaAngejua Malawi ilivyo..
Ujinga mtupu!Ni mwafrika mwenzao
huyo pro pesa ni ndugu yake na yule balozi jk aliemkataa Musenge Mukuma? Ndo maana hata hyo mtunzi wa kitabu na mtoa post wanalandana na jina la baloz aliekataliwatunasubili kitabu cha samia.. magu bado anaishi
Kwamba Magufuli, Bashiru na babu polepole walitumia pesa za walipa kodi kununua wabunge wa upinzani ili waunge mkono juhudi?Wewe unajua nini ? Tatizo mnapenda sana amini vitu bila ushahidi wowote