Hayati Mkapa pekee ndiye angeweza kufanya mdahalo na Lissu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Bado Mkapa angeshidwa lakini Mkapa alikuwa Rais anaye jiamini kama Nyerere. Maraisi wengine wote walikuwa na hata huyu Mama Samia hawajiamini kwa kuweza kutetea hata sera zao wenyewe.

Huyu Mama hawezi kufanya mdahalo hata kama ni kutetea sera zake mwenyewe hata Heche au Lema hata waweza. Huyu Mama kabaki kujificha ikulu kama vile sio mwanasiasa
 
Mtake radhi mzee wetu kumlinganisha na nyumbu, we Mkapa unamwonaje? Kwanza asingekubali kukaa meza moja na huyo lofa wenu. Huyo ataweza kukaa midahalo ya matusi, uzushi, upotoshaji, uchochezi. Midahalo ya kipuuzi km hiyo haiwezi kuwa na nafasi hp kwetu. Labda akafanyie huko gerezani
 
Matusi haya jibu hoja Lissu alishaomba mdahalo na Mama akakimbia. Mkishidwa midahalo ni kuishia kutukana. Huo ndiyo ukweli na kila Mtanzania ambaye sio chawa anajua hilo. Kushika watu wasio na hatia ndiyo mdahalo!
 
Ukitaka ujue huyu mama ni mweupeee kichwani aingie ulingoni kwenye mdahalo....Lissu ni mbali mno, we mpe hata Hashim Rungwe tu hatoboi!
 
Mtake radhi mzee wetu kumlinganisha na nyumbu, we Mkapa unamwonaje? Kwanza asingekubali kukaa meza moja na huyo lofa wenu. Huyo ataweza kukaa midahalo ya matusi, uzushi, upotoshaji, uchochezi. Midahalo ya kipuuzi km hiyo haiwezi kuwa na nafasi hp kwetu. Labda akafanyie huko gerezani
Kila anayesema Lissu anatukana ukimuambia ataje tusi hata moja tu anaishia kuachia ushuzi.
 
Lusu na magufuli.. wote ni wajeuri
Ni ukweli tofauti yake na Magufuli ni kwamba ni msomaji mzuri wa sheria na taratibu kabla hajachukua hatua. Magufuli alikuwa msomji ila yeye alilenga kwenye final product hakutaka kujali athari au madhara ya njia yeyote anayotumia
 
Kila mtu yuko kivyake vyake jinsi alivyoumbwa,huyu mama ni mtaratibu, muungwana na mstaarabu,hawezi kufanya midahalo na watu wa Lissu type!
P
Ni upole ulioletwa na upungufu wa material kichwani. Bahati mbaya sana maarifa haya ambukizwi au kwa kuwe umepewa cheo mfano Uraisi basi utabadilika na kuwa na maarifa ghafla lah! Hata ukiitwa profesa na hujui kitu itabaki kuwa hivyo.

Ni aibu kuwa na kiongozi mkuu ambaye sio msomaji. Ndio maana machawa na wahuni wanatamalaki kwa sababu ya hulka ya kiongozi.

Pascal Mayalla wewe ni shahidi wakati wa Nyerere Nkurumah iliwaka moto sababu ya mijadala mizito ya kisera na kisiasa. Hata wakati wa mkapa wasomi walipata nafasi.
Sasa hivi hata wewe Pascal Mayalla ukitaka nafasi inabidi umtafute Ommy Dimpoz

Kwa nchi yetu ilivyo Raisi ananafasi kubwa sana ya kuamua muelekeo wa nchi kuliko kanuni na taratibu tulizojiwekea
 
..mwaka 1995 Mkapa alishindwa ktk mdahalo na Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba.

..baada ya hapo CCM wamekuwa hawataki midahalo ya wagombea wakati wa uchaguzi.
 
nguyuri ndo given name yake au umejitungia ,mkuu
 
Back
Top Bottom