Hawezi kwasababu si kipanga sio kuumbwa wala nini . Mkapa alikuwa msomi na anajiamini. Huyu Mama wa Machawa hawezi ku debate yeyote. Sasa kwanini yupo kwenye siasa🤮
Kuna kanuni yoyote kuwa ukiwa kwenye siasa, lazima ujue ku debate?. Rais Mwinyi alidebate?. Kwa taarifa yako, katika kipindi chake chote cha miaka 10, hakuwahi kufanya press conference yoyote na media yoyote!. Mbana alimaliza miaka yake yote 10?.
Urais ni Uongozi, kuongoza nchi sio lazima ku debate, hivyo hoja ya
yupo kwenye siasa, haina mashiko!.
Wengi mmemjua Samia baada ya kushika urais, angali akina sisi tulianza nae lini!, angalia bandiko hili la 2010
New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
by that time high profile women walikuwa wawili tuu
1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye, cost implication na sio performance.
2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
Hiyo Samia ametoka mbali she deserves!
P.