Mtake radhi mzee wetu kumlinganisha na nyumbu, we Mkapa unamwonaje? Kwanza asingekubali kukaa meza moja na huyo lofa wenu. Huyo ataweza kukaa midahalo ya matusi, uzushi, upotoshaji, uchochezi. Midahalo ya kipuuzi km hiyo haiwezi kuwa na nafasi hp kwetu. Labda akafanyie huko gerezaniBado Mkapa angeshidwa lakini Mkapa alikuwa Rais anaye jiamini kama Nyerere. Maraisi wengine wote walikuwa na hata huyu Mama Samia hawajiamini kwa kuweza kutetea hata sera zao wenyewe.
Huyu Mama hawezi kufanya mdahalo hata kama ni kutetea sera zake mwenyewe hata Heche au Lema hata waweza. Huyu Mama kabaki kujificha ikulu kama vile sio mwanasiasa
Lione hili zombie, nyie nguruwe mna laanamtu pekee ukiondoa warioba ,ni Nyerere
Na
Nyerere ilitakiwa afanyie mazoezi yakutosha juu yamdaharo
Mtake radhi mzee wetu kumlinganisha na nyumbu, we Mkapa unamwonaje? Kwanza asingekubali kukaa meza moja na huyo lofa wenu. Huyo ataweza kukaa midahalo ya matusi, uzushi, upotoshaji, uchochezi. Midahalo ya kipuuzi km hiyo haiwezi kuwa na nafasi hp kwetu. Labda akafanyie huko gerezani
Kila mtu yuko kivyake vyake jinsi alivyoumbwa,huyu mama ni mtaratibu, muungwana na mstaarabu,hawezi kufanya midahalo na watu wa Lissu type!Huyu Mama hawezi kufanya mdahalo hata kama ni kutetea sera zake mwenyewe hata Heche au Lema hata waweza. Huyu Mama kabaki kujificha ikulu kama vile sio mwanasiasa
Nyerere alikuwa vizuri kichwani,mtu pekee ukiondoa warioba ,ni Nyerere
Na
Nyerere ilitakiwa afanyie mazoezi yakutosha juu yamdaharo
angechemka kwenye data za mambo mengi angegaragazwa Nyerere mana Lisu angemtajia alivyomvificha Nyerere kwa tz ,hapo ndo kuumbuliwa mtuNyerere alikuwa vizuri kichwani,
Kila anayesema Lissu anatukana ukimuambia ataje tusi hata moja tu anaishia kuachia ushuzi.Mtake radhi mzee wetu kumlinganisha na nyumbu, we Mkapa unamwonaje? Kwanza asingekubali kukaa meza moja na huyo lofa wenu. Huyo ataweza kukaa midahalo ya matusi, uzushi, upotoshaji, uchochezi. Midahalo ya kipuuzi km hiyo haiwezi kuwa na nafasi hp kwetu. Labda akafanyie huko gerezani
Ni ukweli tofauti yake na Magufuli ni kwamba ni msomaji mzuri wa sheria na taratibu kabla hajachukua hatua. Magufuli alikuwa msomji ila yeye alilenga kwenye final product hakutaka kujali athari au madhara ya njia yeyote anayotumiaLusu na magufuli.. wote ni wajeuri
Ni upole ulioletwa na upungufu wa material kichwani. Bahati mbaya sana maarifa haya ambukizwi au kwa kuwe umepewa cheo mfano Uraisi basi utabadilika na kuwa na maarifa ghafla lah! Hata ukiitwa profesa na hujui kitu itabaki kuwa hivyo.Kila mtu yuko kivyake vyake jinsi alivyoumbwa,huyu mama ni mtaratibu, muungwana na mstaarabu,hawezi kufanya midahalo na watu wa Lissu type!
P
kenge tafadhari msafara siowako......kaendelee kula mayai ya kuku.Lione hili zombie, nyie nguruwe mna laana
nguyuri ndo given name yake au umejitungia ,mkuu..mwaka 1995 Mkapa alishindwa ktk mdahalo na Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba.
..baada ya hapo CCM wamekuwa hawataki midahalo ya wagombea wakati wa uchaguzi.
nguyuri ndo given name yake au umejitungia ,mkuu