Kwenye hotuba ya siku ya kuapishwa nyerere alisema ,ndugu zangu watanzania,mkimuamini RAis wenu na yeye atapata kujiamini.....Sijui alimaanisha nini mzee yule
hamna watumishi ngazi ya Halmashauri wenye uwezo wa kuiba hizo hela. Kuna mkubwa tu anataka aonekane anatimiza wajibu wake kwa kuiwaumiza Wafanyakazi wa Halmashauri. Hizo hela lazima imepelekwa kwenye kazi ila wameshindwa au hawajapewa nafasi ya kusikilizwa watoe ufafanuzi. JIWE yeye ndo alikuwa anazichukua kwa nguvu kutoka kwa Wafanya biashara. Alikuwa jambazi la karne