Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

Siku zote nasemaga Nyerere tumpe sifa ya kudai uhuru tu lakini kiutawala alikuwa hatufai yule, mambo mengi yanatusumbua hivi sasa ni uzembe wake.
Kwenye hotuba ya siku ya kuapishwa nyerere alisema ,ndugu zangu watanzania,mkimuamini RAis wenu na yeye atapata kujiamini.....Sijui alimaanisha nini mzee yule
 
Wengine wameiba 213 million huko Tarime Halmashauri na kugawana in two days, jiulize wale tusiowajua mpaka leo wamechota ngapi
hamna watumishi ngazi ya Halmashauri wenye uwezo wa kuiba hizo hela. Kuna mkubwa tu anataka aonekane anatimiza wajibu wake kwa kuiwaumiza Wafanyakazi wa Halmashauri. Hizo hela lazima imepelekwa kwenye kazi ila wameshindwa au hawajapewa nafasi ya kusikilizwa watoe ufafanuzi. JIWE yeye ndo alikuwa anazichukua kwa nguvu kutoka kwa Wafanya biashara. Alikuwa jambazi la karne
 
Back
Top Bottom