Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Ukichunguza kwa umakini wanaompinga mwamba utagundus hawapo sawa kiakiliAliwachukia sana sana na sababu ya wivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukichunguza kwa umakini wanaompinga mwamba utagundus hawapo sawa kiakiliAliwachukia sana sana na sababu ya wivu tu
Kwenye hotuba ya siku ya kuapishwa nyerere alisema ,ndugu zangu watanzania,mkimuamini RAis wenu na yeye atapata kujiamini.....Sijui alimaanisha nini mzee yule
hamna watumishi ngazi ya Halmashauri wenye uwezo wa kuiba hizo hela. Kuna mkubwa tu anataka aonekane anatimiza wajibu wake kwa kuiwaumiza Wafanyakazi wa Halmashauri. Hizo hela lazima imepelekwa kwenye kazi ila wameshindwa au hawajapewa nafasi ya kusikilizwa watoe ufafanuzi. JIWE yeye ndo alikuwa anazichukua kwa nguvu kutoka kwa Wafanya biashara. Alikuwa jambazi la karneWengine wameiba 213 million huko Tarime Halmashauri na kugawana in two days, jiulize wale tusiowajua mpaka leo wamechota ngapi
Hizi ni porojo za kijiweni.Salim ndo alikuwa chaguo..
Mwinyi alikuwa chaguo la watu wasiomtaka Salim...waliungana...wakiongozwa na Gertrude Mongela na Paul Bomani