Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

Sidhani kama kuna 'aliyemgeuka' au 'aliyemgomea' mwenzake. Ikumbukwe mpaka wanaenda katika vikao vya juu, jina la kutoka Zanzibar lilikuwa la Mzee Salim A. Salim. Na pia ndani ya CCM kuna Kamati Kuu (ndogo) ya CCM Zanzibar ambayo wana maamuzi kuhusu jambo mahususi linalohusu Zanzibar; hawa ndiyo waliopendekeza kuondoa jina la SAS. Na ikumbukwe pia Mzee AHM alikuwa tayari Rais wa SMZ na hakuwaza kuwa Rais wa JMT. Sasa kwa vile u-Rais uishanukia kwa Wazanzibar, ilibidi wao wapendekeze jina; na wakaona Mzee AHM tayari ameonesha uzoefu kwa miezi michache aliyoongoza SMZ. Jina lake lilipofikishwa vikaoni, kwa mshangao Mzee Kawawa naye akajitoa, likabaki jina moja!
Mtu aliyekuwa anatoa maamuzi ya Mwisho kuhus Zanzibar alikuwa Thabvit Kombo, na Nyerere alikuwa haamui lolote kuhusu watu wa Zanzibar bila kumwuliza Thabit Kombo. Iwapo Thabit Kombo alisema iwe ni Mwinyi kuliko Salim basi itakuwa hivyo, na iwapo Mzee Kombo angesema iwa ni Salim siyo Mwinyi ingekuwa hivyo. Neno la Thabit Kombo lilikuwa likishachukuliwa na Nyerere hakuna wa kumgomea. Unakumbuka yaliyomkuta Jumbe?
 
Sentesi yako ya mwisho ina kitu ambacho kinaonyesha matokeo ya mkakati wa siri (story nzima ya huu uzi ipo hapo) wenye akili wataelewa.
 
Mtu aliyekuwa anatoa maamuzi ya Mwisho kuhus Zanzibar alikuwa Thabvit Kombo, na Nyerere alikuwa haamui lolote kuhusu watu wa Zanzibar bila kumwuliza Thabit Kombo. Iwapo Thabit Kombo alisema iwe ni Mwinyi kuliko Salim basi itakuwa hivyo, na iwapo Mzee Kombo angesema iwa ni Salim siyo Mwinyi ingekuwa hivyo. Neno la Thabit Kombo lilikuwa likishachukuliwa na Nyerere hakuna wa kumgomea. Unakumbuka yaliyomkuta Jumbe?
Nakubaliana nawe. Wadau mnafungua Code taratibu
 
Naheshimu fact ulizoeleza na sina sababu ya kukubishia kwani zina reflect kitu kilichoonekana wazi. Ila kuna jambo lililosababisha yaliyotokea yatokee kinyume na wishes za mchonga. Mchonga alilazimika kukubaliana na hali kutokona na chenga aliyopigwa mndengereko ambaye alikuwa amefunguliwa macho na watu muhimu kutoka upande muhimu
Uko sahihi mkuu
 
Mtu aliyekuwa anatoa maamuzi ya Mwisho kuhus Zanzibar alikuwa Thabvit Kombo, na Nyerere alikuwa haamui lolote kuhusu watu wa Zanzibar bila kumwuliza Thabit Kombo. Iwapo Thabit Kombo alisema iwe ni Mwinyi kuliko Salim basi itakuwa hivyo, na iwapo Mzee Kombo angesema iwa ni Salim siyo Mwinyi ingekuwa hivyo. Neno la Thabit Kombo lilikuwa likishachukuliwa na Nyerere hakuna wa kumgomea. Unakumbuka yaliyomkuta Jumbe?
Ni kweli bila Thabit Kombo historia ingekuwa tofauti sana alikuwa anaaminika sana na mwalimu kwenye nani awe nani
 
Aisee !!???? Hivi bila mitumba leo watu wangekuwa si wanatembea uchi kabisa let alone kuvaa viraka..... Production imeongezeka duniani na junks nyingi zinakuja Africa... (Ndio yale yale tunashangilia kuna Namba E nyingi Mtaani wakati watu wanaweka maiti Hospitali kwa kushindwa kuzikomboa)

Soko Huria ndio mpango mzima lakini Mentality ya Self Reliance ndio itatufanya tuwe rulers na sio followers...; Jambo ambalo kwa sasa tumekuwa madalali na wachuuzi...,

Hivi katika Viongozi wote kuna mtu alipata Hardships kama Nyerere (Vita vya Kagera / Mabeberu wa Kweli katika Vita Baridi (Acha wa sasa wa kufukirika); Hati hati ya kupinduliwa (sababu kipindi icho uki-side na Russia USA / CIA wapo tayari kumfadhili mwingine ili akuondoe (Waulize kina Sankara na Patrice Lumumba)...;
 
Nyerere alijenga viwanda sawa ila hakuwa mchumi mzuri na alikuwa aambiliki,sera zake zilikuwa impractical
 
Sera practical za sasa ni zipi ?

Wewe unayeongelea Ubepari ndio wenyewe na ujamaa sio (ngoja nikupe case study ya USA) Mabenki yalifuja pesa na kuzitafuna yakaingia hasara kutaka kufirisika (they are too big to fail) ni kodi za mwananchi ndio zilitumika kuyakomboa hayo mabenki (yaani kwenye hasara mwananchi analipa / faida wanakula wenyewe)

Am all for Free market ndio maana hata socialists wenzetu china sasa hivi wame-adapt wana market socialism (mifumo inabadilika hata sisi tungebadilika kutokana na wakati)

Thatcher na model ya privatization ya UK ambayo waliona kila kitu kiwe privatized ni kwamba walichodhani sicho hadi watu wanaanza kufikiria re-nationalization...

Privatization, The God that Failed (lesson from UK)
 
Bongoman na chakachaka walipikuja nchini kiingilio ilikuwa laki moja .laki moja ndio,
Hii umetupiga cha utosi. Kanda Bongaman alitumbuiza ukumbi wa PTA Saba Saba kiingilio kikubwa kabisa ilikuwa Tsh 6000/-.
 
Kuendesha gari jumapili ilikuwa marufuku pasipo kuwa na kibali maalumu .

Kuna wakati watu walitupa tv zao kuepuka kukamatwa uhujumu uchumi nafikiri Hata smartphone au laptop zingekuwepo ingekuwa marufuku ,nikiangalia Picha za Miaka ya mwanzoni ya 80 nguo tulizovaa za utotoni unaweza kusema ni kwa Kim jong .

Mzee Mwinyi akaja na sera ya inaitwa Ruksa .
Naskia hadi kunyoa panki lazima uombe kibali. Wanaume wote lazima wachomekee. Marufuku wanawake kuvaa suruali. Chakula kilichoruhusiwa kuliwa asubuhi ni chai maandaz ana mkate wa boflo. Mchana ugali na mboga na nyama kidogo, usiku ni wali maharage. Ukila vyakula tofauti na hivyo lazima uombe kibali.

Halafu ni yeye pekee alikuwa na TV akiangalia utabiri wa hali ya hewa BBC mvua itanyesha kesho anatangazia umma na kweli mvua inanyesha hadi kina babu zake adriz wakamuita nabii.

Nyerere mgalatia mwenzetu katuangusha sana ila mwinyi Kobaaz akatukomboa.

adriz hydroxo Accumen Mo
 
Sina uhakika kama ni kweli baada ya jumbe kuondolewa kwenye urais wa zanzibar,alilidhiwa na mwinyi.Abdul wakil nombe sijui alimrithi nani?
 
Mwandishi ana hoja, asikilizwe. Ingawa anahitaji kutopindisha maneno ili adhira muelewe, vinginevyo hatoeleweka kwani ataacha maswali pasipo majibu na hatimaye ataonekena muongo/mzushi. Ila kuna kitu kakieleza ni fact ya kweli. mbembelezeni awaeleze kwa uzuri
Hajui lolote huyo,ni mshabiki na muongo mwongo tu.
 
Mwizi anachukia wez wenzie? Umesahau habari ya kivuko cha bagamoyo? Umesahau zile nyumba ziligawiwa mahawara? Umesahau yule jamaa alikuwa Tanroads Ars akapelekwa bandari? Umesahau Mayanga construction? Umesahau CAG aliyebainisha 1.5T alivotimuliwa? Etc etc.
Wewe utakufa na hizo chuki zako za kipumbavu.wewe kila kitu ni jpm tu,jadili hoja iliyopo mezani,kama wewe una hoja kuhusu jpm,anzisha mada.
 
Back
Top Bottom