Umemaliza kila kitu mkuukama mtu nataka azikwe kwa kufuata sheria za dini au kabila asichague kuwa kiongozi full stop
Tusubiri taratibu leo kukikuchwa tutafahamishwa zaidAtazikwa wapi Mkuranga ama.
Hayo yalikuwa hivyo enzi hizo hakuna technology ya kuhifadhi maiti hata makabila yetu zamani hayakuchelewesha mazishi. Siku hizi mambo yamebadilika. Dini inahitaji uwe na akili huru la sivyo unakuwa mtumwa wa vitabu vya kale tu.Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana
Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضى الله عنه akisema: Amesema Mtume ﷺ : “Harakisheni mazishi! Kwani kama maiti ni mja mwema basi haifai kumchelewesha, na kama ni mja muovu basi ni shari na balaa mnaweka mabegani mwenu.
Muttafaq Alayhi.
951. Imepokewa kutoka kwa Huswayn bin Wahwah akisema: “Aliumwa Twalha bin al-Baraa’ bin ‘Azib akatembelewa na Mtume nyumbani kwake. Baada ya kumuona, alisema: “Naona mwisho wa maisha ya Abu Twalha unakaribia, hivyo akifariki nijulisheni, na harakisheni kumtayarisha kumzika; kwani haifai kuachwa mzoga wa mwili wa Mwislamu kusalia nyumbani na familia yake” Ameipokea Abu Daud.
🤣🤣🤣😂 Presha imepanda mtu akaamua alale kidogo kushtuka yupo shimoni na sanda juu
Halafu unajikuta mmepatiaaa!Nyie mtu akizirai tu mnamtia futi sita bora si tunaokaa ktk friji ata wiki
Huzikwi bila Daktari,kuthibitisha kifo.Na pia toka zamani wapo wanaojua kwa njia za kienyeji,kama mtu ameshafariki au bado.Hata wewe ukifundishwa,unaweza kuelewa.Fikiria wakristo wa zamani,wakati hakuna majokofu,hakuna madaktari wa kisasa,wafu walizikwa vipi.😂 Presha imepanda mtu akaamua alale kidogo kushtuka yupo shimoni na sanda juu
Mtu yoyote,popote akifariki kwa dunia ya sasa,lazima aitwe daktari kuthibitisha kifo chake.Na huko zamani na mpaka sasa,wapo watu wanaoelewa,kama huyu kafariki au yuko hai.Hapo zamani,ilipokuwa hakuna madaktari,walikuwepo watu wanaofahamu,na mpaka leo wapo,wanaoweza kutambua kama huyu mtu,yuko hai au kafariki.Nyie mtu akizirai tu mnamtia futi sita bora si tunaokaa ktk friji ata wiki
Vyeo vikubwa kama vile W/Mkuu,Makamu wa Rais na Rais kuna wakati ni lazima mtu akiuke misingi ya dini kwa kuwa Serikali haina dini kuna mambo lazima yaende nje ya utaratibu wa dini.Uislam wa siki hizi ,huyo samis alienda makaburini chato kumzika jpm niloshamgaa sana
Umepotoka mwili wa Mwinyi uko Hospital sio nyumbani kwa familia yake951. Imepokewa kutoka kwa Huswayn bin Wahwah harakisheni kumtayarisha kumzika; kwani haifai kuachwa mzoga wa mwili wa Mwislamu kusalia nyumbani na familia yake” Ameipokea Abu Daud.
Hata kwa Lowasa aliendaUislam wa siki hizi ,huyo samia kwaalienda makaburini chato kumzika jpm niloshamgaa sana
Mleta mada anajitia kuijua dini kuliko Mohamed mwenyeweWaislam acheni mbwembwe Mtume muhammad mwenyewe alizikwa siku ya tatu toka amefariki
Lakini mbona mtume wenu alikaa zaidi ya siku saba hadi akanuka ikabidi azikiwe chumbani mwake?Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana