Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My dear, hakuna kitakachokupa guarantee ya kutokuachana kama sio upendo na maelewano baina yenu.Wadada jifunzeni kutoka kwa Zuchu, hakuna kuzaa mpaka kuolewa...
Yetu macho. Ila Zuchu yupo kimaslahi zaidi.
Sasa Dot kwa hiyo ni kugongwa tu? Kuzaa No...?Wadada jifunzeni kutoka kwa Zuchu, hakuna kuzaa mpaka kuolewa...
Ulikwama wapi kuwa king'ang'anizi? Wote mtaolewa tuu hakuna asiye na matatizo.Diamond anamuoa king’ang’anizi wake, huku Zuchu akiolewa na matatizo yake.
Wazanzibar huolewa wakiwa bikra, huyo hana sifa hiyo.Atakuwa ameshampa mimba sasa anaogopa aibu ya kuizalishwa nje ya ndoa..
Mzazibar akizaa mtoto nje ya ndoa hata jina la baba hapewi..
Mtoto anapewa jina la mjomba...
Maslahi yamezingatiwa kwasasa Zuchu ndo anaingiza mpunga mrefu Wasafi. Zuchu mwenyewe analengo la kupata watoto watakaoweza kurithi utajiri wa Simba.Simba na kuruka na totozi kali kiasi kile anakuja kuoa Zuchu?
Mapenzi kitu cha ajabu..