Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Wadada jifunzeni kutoka kwa Zuchu, hakuna kuzaa mpaka kuolewa...
My dear, hakuna kitakachokupa guarantee ya kutokuachana kama sio upendo na maelewano baina yenu.

Kuna waliozaa baada ya kuolewa wameachana, kuna waliozaa kabla ya kuolewa na wangali wanaishi pamoja.

Huwaoni Aika na Nahreel? Kwa zaidi ya miaka 10 wana watoto wawili sasa na wanaishi pamoja kwa mapenzi kedekede!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…