Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Labda Kibonde Cha kufikirikaHicho kibonde kilipita wapi mpaka kukutana na jangwani? Au kilipita angani hakijapita kwenye mashindano?
Yanga haijawahi kupata ushindi??Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.
Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa ikipepetana dhidi ya timu kibonde kutoka Ghana medeama fc kisha kuichabanga magoli matatu kwa mtungi.
Baada ya kuibuka na ushindi huo sasa kumeibua matumaini ya kusonga mbele zaidi katika michuano hiyo huku ikiiombea mabaya CR Belouzdad ya algeria.
Watanzania wote kwa ujumla tunaipongeza yanga sc kwa hatua hiyo kubwa waliyoifikia toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.
Yanga ina bahati ya kukutana na timu vibondeNdugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.
Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa ikipepetana dhidi ya timu kibonde kutoka Ghana medeama fc kisha kuichabanga magoli matatu kwa mtungi.
Baada ya kuibuka na ushindi huo sasa kumeibua matumaini ya kusonga mbele zaidi katika michuano hiyo huku ikiiombea mabaya CR Belouzdad ya algeria.
Watanzania wote kwa ujumla tunaipongeza yanga sc kwa hatua hiyo kubwa waliyoifikia toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.
Nili na wapi ukinitumia nakupa laki yako chapi isiyo na longolongoYanga haijawahi kupata ushindi??
Au umeandika huku umelewa?
Ndugu mbumbumbu kama mambo ya mpira hamyafahamu usikurupuke.Nili na wapi ukinitumia nakupa laki yako chapi isiyo na longolongo
Kala bangi mbichiYanga haijawahi kupata ushindi??
Au umeandika huku umelewa?
Nili [emoji777] Lini [emoji736]Nili na wapi ukinitumia nakupa laki yako chapi isiyo na longolongo
Asante kwa marekebisho, njoo kwenye mada nipe matokeo wewe tangu uzaliwe ni lini uliiona yanga inashinda mchezo wake kwenye hatua ya makundi caf champions league. Kuna laki moja yako hapa chapuNili [emoji777] Lini [emoji736]
Chapi [emoji777] Chapu [emoji736]
Ulienda shuleni kusomea ujinga [emoji848][emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Leta matokeo acha kubwabwaja. Kuna laki moja yako hapa chapu.Kala bangi mbichi
Hiyo mechi kwenye hatua ya makundi alimfunga nani? Mwaka gani? Na kwenye kundi lake kulikuwa na timu ngapi? Zitaje timu hizo, alimaliza nafasi ya ngapi yanga. Kuna laki moja yako hapa.Ndugu mbumbumbu kama mambo ya mpira hamyafahamu usikurupuke.
Katika Historia ya soka la Nchi hii, Yanga ndio klabu ya Kwanza kutokea Tanzania kufika hatua ya robo fainali mara mbili mfululizo katika mashindano ya klabu bingwa barani Afrika 1969 na 1970.
Sasa kama Jana ndio imeshinda kwa mara ya kwanza izo robo za 1969 na 1970 alifikaje!!
Ndugu mbumbumbu lazima utambue mambo ya makundi yameanza hivi karibuni, mwaka 1998 wakati Yanga Alisha cheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika mara 2.Hiyo mechi kwenye hatua ya makundi alimfunga nani? Mwaka gani? Na kwenye kundi lake kulikuwa na timu ngapi? Zitaje timu hizo, alimaliza nafasi ya ngapi yanga. Kuna laki moja yako hapa.
Wakati mwingine acheni kushabikia ujinga mnawapa kichwa wasiojitambua.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Iyo bangi unayotumia itakuwa ni ya Arusha umeiswaga bila kula matokeo yake ndiyo haya!Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.