Hii ni habari njema sn kwa WanaJf kwa Ujumla, lakini pia kwa A-Wing, maana tutaongezeka idadi.
Na sisi huku itatupasa kukaa kama kamati ya matumizi tuangalie mustakabali wa jambo hili.
Nichukue nafasi hii kumpongeza sana YNNAH kwa hatua njema sana ya kupata mwenza wa maisha.
Pia nitoe pole zangu za dhati kwa Tanga -Wing kwa kupoteza mwanawing wenu ambaye ni active sana.
Msisome hapa chini:
Kumbe ndiyo maana Ynnah amekuja Arusha mara 5 ndani ya October!
Tumepoteza memba bana, njoo basi wewe!

Nisha piga sound sana tu
Mkuu tupe siri ya kutoamini!
Hivi unaozesha au wewe mwenyekiti wa kumtoa mwali?
Kwisha habari yako.....kama uliendelea kufungua bomba kwa nguvu...utakuwa umeishia kunawa tu...!!!
Babu DC!!
mtu mzima mwenzangu, mimi naona anza kumwambia mleta uzi a-edit kama lengo ilikuwa ni kuweka viulizo....
kaiweka wazi sana.... yaani kabla ya kumsoma The Boss, mimi mwenyewe ndo nilielewa hivyo
Thubutu ......atanikumbuka....
Karibuni siku ya tukio! haya yote yatawekwa wazi!
Kwa sasa toeni pongezi na kutakia mema
Unajua kuna maswali mengine yanatia shaka sana....
Nakuomba PakaJimmy usijibu na hili....
Labda tu uchukue nafasi hii kumkaribisha kwenye shughuli yenyewe...
Babu ana kadi za complementary...
Babu DC!!
Hivi na wewe UPOGO?Hayawi hayawi hayooo yamekaribia kuwa....Hongera bibie....