Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Da sjui ulikuwa na haraka Gani kupost bila kuangalia yaani wanafungua ndoa leo???!!!
 
Mkuu waombee tu basi mengine waachie wenyewe na Mungu wao.

Sisemi wataachana hapana, nimesema ndoa za watu maarufu huwa siziamini maana kila mmoja anakuwa kiburi na mjuaji jambo ambalo ni gumu sana ndoani.

Kuna mifano mingi ya watu maarufu kuoana kwa mbwembwe na kuachana kwa mbwembwe pia.

Nawatakia kila la heri [emoji23][emoji23]
 
Kuwa nenga inataka moyo ndugu.. yaan unajua kabisa bwana wa unaetaka kuoa alidanja na naniliu na bado unakomaa tuu.. ndomana nandy anampenda sana jamaa sabab anajua mwamba amesacrifice maisha yake 100%.
Ila nyie watu, khaaaaah.
Hamna dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…