Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Nyie mmeona Nenga kachukua hela kaweka kwenye koti la suti? Wallah wachaga hawajambo kwa pesa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu shangazi wa Nandy, atarudi Europe kwa mguu, sio kwa hela anazomwaga, na amelewaa ndiiiih [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aunt bana sio shangazi[emoji23]
 
Ndoa si kitu rahisi ,kulia ni hisia muacheni Alie, analia vingi ,Naamini watadumu Sana maana wamekutana wote sio wahuni,SEMA tu mama mtu ndo alikua analeta tamaa zake na ameshindwa kwa jina la Mungu aliye hai.
[emoji23][emoji23][emoji23] Kweli umefurahi Mdada, tuwaombee wawe na uvumilivu na wadumu. Ndoa ina mengi ya kuvumilia na kukubaliana mapungufu.
 
Daahh, Tulioneshwa Junior anachukungulia mlango sasa ndio ndoano inafuata...

Huyu mfungisha ndoa na hili kanisa linabariki ndoa ya namna hii...!!

Enewei, maharusi karibuni chamani!
Ndio maana ya kubariki ndoa na sio kufunga ndoa.
 
Alivaa shela kichwani? Ninavyojua makanisa yote yanaruhusu nguo nyeupe kasoro shela la kufunika uso.
 
Watumishi wa Mungu zama hizi wana kazi sana...
Ndoa inafungwa mimba kubwaaa inabidi tu wafumbe macho hivyo hivyo vinginevyo wakijifanya kuwa wakali watakosa waumini
Naomba niwaweke sawa kuhusu hili la kufunga ndoa Bi Harusi akiwa mjamzito

Katika ukristo inaruhusiwa

Katika Uislam hairuhusiwi mpaka mjamzito atakapojifungua ndo anaruhusiwa kuolewa

Kama kuna nilipokosea wanaojua zaidi waje kunisahihisha/kunikosoa

Tuwatakie Kheri katika ndoa yao mengine tuwaachie wenyewe
 
So in short ukristo una ruhusu uzinzi
 
A simple yes or no inatosha story ndefu za nini
Siwezi nikatoa jibu la namna hiyo mkuu, maana imani yangu inanitaka niheshimu wa Imani tofauti, kama naona wanakosea napaswa kuzingatia aya inayosema hivi,

"Msiwatukane. Msiwabague. Wapendeni. Wafikishieni ujumbe katika hali ya amani. Wakivutiwa basi wakaribisheni".
 

Yaani aunt pombe ndo zilikuwa zinafanya kazi
 
Watumishi wa Mungu zama hizi wana kazi sana...
Ndoa inafungwa mimba kubwaaa inabidi tu wafumbe macho hivyo hivyo vinginevyo wakijifanya kuwa wakali watakosa waumini
Hao sio watumishi,ni watumishi njaa!.. Watumishi wa kweli wanasimamia misimamo ya imani yao.
Sio ukristo sema baadhi ya makanisa ya kimchongo mchongo ndio yanaruhusu watu kuoana mwanamke akiwa na mimba
 
Nimefurahi jamani Kama naoza mwanangu mwenzenu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji179][emoji3059][emoji3059]nampenda William na Nandy nimeamini true luv do exist!!!
Mungu awape miaka yenye heri nyingi duniani
Daaah! Manka umetokea sayari gani? Wewe siyo wa Dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…