Hayawi, hayawi, yamekuwa! Teknolojia imethibitisha tena ukweli wa Biblia!

Hayawi, hayawi, yamekuwa! Teknolojia imethibitisha tena ukweli wa Biblia!

Wewe ni miongoni mwa watu mliofanya nijawe na huruma na kuamua kusitisha uamuzi wa kujitoa humu JF. Kama ningeondoka JF kungeboa sana. Hizi nyuzi zingekosa kabisa wasomaji... Kimsingi JF ingeangamia.
Ooh, nafurahi kusikia hivyo. Ulifanya vema kughairi kujitoa.
 
Yes huu ndio moja kati ya utabiri ambao naupenda sana ukisoma tafsiri ya globalization ni interaction of people company na growth of technology ambayo ni what exactly Daniel alisema back in 500BC
Safii
 
Hahaa, ukinipiga kofi shavu la kulia, nakugeuzia na la kushoto unipige ili ujisikie umenipiga vizuri. Halafu subiri sasa siku utakayoondoka duniani na kukutana na aliyekuumba, ndio utajua ulikuwa hujui umuhimu wa dini.

By the way, dini unaikataa lakini kuku kumi za mwenye dini ulikula
sio kila kande laliwa mengine yanatupwa jalalan na hata njiwa watakula.. Sasa unavonambia kuku kumi nilimaliza hapo lazima ninunue nyagi nyingne after hizi tatu kwa leo.
 
Back
Top Bottom