Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
View: https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn
Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali.
Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama milioni 6. Je ina maana nusu ya walokole ni wafuasi wa Gwajima? Huu ni uongo