The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,855
- 28,752
Kukusaidia tu,waumini ni hao hao leo wakienda kwa gwajima kesho unakutana nao kwa mwamposa kesho kutwa utawakuta kwa musa yule wa Temboni au wanaunga ibada wakitoka huku wanaenda kule wakitoka kule wanaenda pale yaani ni kikundi fulani hivi kinaenda na upepo wa miujiza.Yeye anasema ana waumini Milioni 4, wakati hiyo ni nusu ya walokole wote. Sasa yeye akiwa na hiyo 4 Milioni na Mwamposa atakuwa na ngapi?
So kama kuna siku alichungulia akaiona idadi aliyosema ana haki ya kuamini hivyo ingawa anapaswa afahamishwe hao siyo wote ni wa kwake