Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

Yeye anatakwumu za waumini wakee ,na makanisa yake yapo nchi nzimaaa usijekutuletea mambo ya AI hapa Mkuu hata sisi KKKT t=hatuko 7m tuko zaidi ya 20m hakuna sehemu nchi hii kusiko na Kanisa la kkkt
KKKT hamuwezi kufika 20 million wacha kujipaisha. RC wenye wako kila kitongoji jumla yao ni 33 Million
 

View: https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn


Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali.

Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama milioni 6. Je ina maana nusu ya walokole ni wafuasi wa Gwajima? Huu ni uongo

View attachment 3408021

hoja yake kwamba waumini wanakosa ibada na kuabudu ina mashiko au haina mashiko?
 
Kama una simu na hautumii chatgpt basi simu yako haikusaidii kitu.

Mimi imenisaidia kupata uwongo wa huyu "Askofu Feki" Gwajima
Iulize ikisaidie kupata uongo wa mama Yako kwa baba Yako, ukiweza nipe link niweke
 

View: https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn


Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali.

Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama milioni 6. Je ina maana nusu ya walokole ni wafuasi wa Gwajima? Huu ni uongo

View attachment 3408021

Tanzania ina zaidi ya vijiji elfu 12 ndiyo elfu 12 inashindikana vipi kuwa na makanisa elfu 2 kutoka vijiji elfu 12? Hata SDA Member kuwa laki 5 ni upooshaji mkubwa sana. Makanisa ya mjini unakuta mimi mwenyewe namba yangu ya ushirika kanisani ni 109, narudia kanisani siyo Tanzania. Hii ni kwa SDA mimi siyo mgwajiboy. Ila namini inawezekana
 
Nioneshe wachama 13Mil. WA CCM nikuoneshe waumini 2000 WA Gwajima
Soma tena hoja yangu kwa kuelewa. Gwajima anasema ana malanisa 2,000 na waumini milioni 4.

Onyesha kwanza malanisa 2,000 ya Gwajima
 
hoja yake kwamba waumini wanakosa ibada na kuabudu ina mashiko au haina mashiko?
Tungeajua hao waumini walipo ndiyo tungejuwa ina mashiko. Ninachojuwa waumini waliokosa kusali ni wa pale Ubungo Chaibora kwenye pagale la kanisa lake. Hayo ya matawi ya mikoani yapatayo 1,999 ndiyo nataka niyajuwe
 
Mtu ana amnin Chatgpt ?
Wewe unamuamini Gwajima? Unaiponda Chatgpt halafu unamuamini porn star??
Screenshot_20250716_185753_Chrome.jpg
 
When you are dead, you do not know you are dead. It's only painful & difficult for others. The same applies when you are stupid," -Phelipe Geluck
Only with visions will find ways to be alive than ending up dying
 

View: https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn


Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali.

Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama milioni 6. Je ina maana nusu ya walokole ni wafuasi wa Gwajima? Huu ni uongo

View attachment 3408021

Hujui Dunia ,hivi hujui makanisa ya kilokole kwa sasa ndo yanapanda kwa kasi kuli kuliko makanisa ulioyataja ? Mwamposa mpaka jenga lile hema , hufikilii hata kidogo ,pumbavu na data zako
 
Back
Top Bottom