Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427

View: https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn

Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali.

Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama milioni 6. Je ina maana nusu ya walokole ni wafuasi wa Gwajima? Huu ni uongo

 
Pimbi kweli wewe, hivi Hilo bichwa lako umelijaza nini ukiachilia mbali minyoo???
 
Hiyo chatgtp sio ya kuamini kama unabisha rudia kuiuliza Tena swali ilo mara ya pili utaona majibu yamebadilika ata urudie Tena mara ya tatu ivyo ivyo majibu yataendelea kuja tofauti 😂
 
Yeye anatakwumu za waumini wakee ,na makanisa yake yapo nchi nzimaaa usijekutuletea mambo ya AI hapa Mkuu hata sisi KKKT t=hatuko 7m tuko zaidi ya 20m hakuna sehemu nchi hii kusiko na Kanisa la kkkt
 
Kama ana Waumini 2000 hayo ni makanisa 2000 Kwani kila mwili ni kanisa la Mungu wa mbinguni 🙏
Yeye anasema ana waumini Milioni 4, wakati hiyo ni nusu ya walokole wote. Sasa yeye akiwa na hiyo 4 Milioni na Mwamposa atakuwa na ngapi?
 
Hiyo chatgtp sio ya kuamini kama unabisha rudia kuiuliza Tena swali ilo mara ya pili utaona majibu yamebadilika ata urudie Tena mara ya tatu ivyo ivyo majibu yataendelea kuja tofauti 😂
Naomba uulize wewe na uliweke hapa jibu unalodhani ni la ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…