Kukusaidia tu,waumini ni hao hao leo wakienda kwa gwajima kesho unakutana nao kwa mwamposa kesho kutwa utawakuta kwa musa yule wa Temboni au wanaunga ibada wakitoka huku wanaenda kule wakitoka kule wanaenda pale yaani ni kikundi fulani hivi kinaenda na upepo wa miujiza.Yeye anasema ana waumini Milioni 4, wakati hiyo ni nusu ya walokole wote. Sasa yeye akiwa na hiyo 4 Milioni na Mwamposa atakuwa na ngapi?
Wasabato siyo dhehebu bali ni cultTanzania ina zaidi ya vijiji elfu 12 ndiyo elfu 12 inashindikana vipi kuwa na makanisa elfu 2 kutoka vijiji elfu 12? Hata SDA Member kuwa laki 5 ni upooshaji mkubwa sana. Makanisa ya mjini unakuta mimi mwenyewe namba yangu ya ushirika kanisani ni 109, narudia kanisani siyo Tanzania. Hii ni kwa SDA mimi siyo mgwajiboy. Ila namini inawezekana
Kuna mahema mangapi ya Mwamposa Tanzania?Hujui Dunia ,hivi hujui makanisa ya kilokole kwa sasa ndo yanapanda kwa kasi kuli kuliko makanisa ulioyataja ? Mwamposa mpaka jenga lile hema , hufikilii hata kidogo ,pumbavu na data zako
Muulize yeye ,mimi nimeona la juzi tu la B15 sijui ,unaweza nikosoa kwenye gharama yake.Kuna mahema mangapi ya Mwamposa Tanzania?
And there is no pain compared to when you are being led by incompetent, stupid and ignorant leader! Inauma sanaWhen you are dead, you do not know you are dead. It's only painful & difficult for others. The same applies when you are stupid," -Phelipe Geluck
Wapi GwajimaKanisa katoliki na Lutheran na Anglican na wana maaskofu wasiozidi 40 nchi nzima wakiwemo na wastaafu
Gwajima ana maaskofu zaidi ya elfu 2
Utapeli mtupu
Wehu hao, yaani wapagani 15m,waislam 5m,wakiambiwa sensa tuhesabu dini hawataki
Yeye anasema ana waumini Milioni 4, wakati hiyo ni nusu ya walokole wote. Sasa yeye akiwa na hiyo 4 Milioni na Mwamposa atakuwa na ngapi?
Hizo ni twakwumu zetu ,siwezi kuja kuandika vitu ambavyo havipoKKKT hamuwezi kufika 20 million wacha kujipaisha. RC wenye wako kila kitongoji jumla yao ni 33 Million
Na Mimi nimeshamwambia japo ni mkatoliki uyo chatgtp kamuingiza chaka😂Yeye anatakwumu za waumini wakee ,na makanisa yake yapo nchi nzimaaa usijekutuletea mambo ya AI hapa Mkuu hata sisi KKKT t=hatuko 7m tuko zaidi ya 20m hakuna sehemu nchi hii kusiko na Kanisa la kkkt
Utajua mwenyewe, mimi hiyo hainihusu.Wasabato siyo dhehebu bali ni cult
Kwanini Huwa nyie sio wepesi wa kujadili hoja mnajadili vitu cheap sana na mnaondoka kenye reli?Hamna Askofu pale kwa Gwajima, kuna TAPELI tu
Hebu hilo neno Cult nalo ungeliweka kwa kiswahili upate tafsiri yake halisi, nakusema SDA ama SABATO siyo Dhehebu ungewasaidia wengine nao kufahamu Dhehebu ni nini na kwanini SDA siyo dhehebu. Kwa ninavojua mimi na ndo msimamo wangu mpaka sasa, Dhehebu ni aina au tawi la imani ndani ya dini. Kwa kutuiita sisi CULT yaani dhehebu ama imani potofu (kutegemea mtazamo wako unaweza kuwa sahihi kwa kuwa anacho akiamini Msabato pengine sicho unachokiamini wewe)Wasabato siyo dhehebu bali ni cult
Ni itikadi tu, hakuna dini paleHebu hilo neno Cult nalo ungeliweka kwa kiswahili upate tafsiri yake halisi, nakusema SDA ama SABATO siyo Dhehebu ungewasaidia wengine nao kufahamu Dhehebu ni nini na kwanini SDA siyo dhehebu. Kwa ninavojua mimi na ndo msimamo wangu mpaka sasa, Dhehebu ni aina au tawi la imani ndani ya dini. Kwa kutuiita sisi CULT yaani dhehebu ama imani potofu (kutegemea mtazamo wako unaweza kuwa sahihi kwa kuwa anacho akiamini Msabato pengine sicho unachokiamini wewe)