Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ni wewe tuuMm ni NMB na nimepata Leo mapema sna.ila nashangaa sna ATM hakuna watu aisee
Sio siku 1....saa kadhaa tuWewe sema una njaa tu. Sasa siku 1 tu utakufa?
Labda CRDB wana miundombinu yenye ufanisi mkubwa kuliko NMBWatumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Mkuu usisahau usiku wa deni ulivyo mfupi
Mimi mshahara unapitia CRDB lakini mbona mpaka sasa muamala haujasoma?Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank
Chaa ngeseu siba!! AhahahWewe sema una njaa tu. Sasa siku 1 tu utakufa?
Watu wanasahau kwamba serikali ina hisa katika benki zote hizo. Ya NMB ni kubwa zaidi.Soko linapaswa kuwa huria, Serikali haipaswi kuibeba NMB au CRDB.
Nmb pia wazito sana hata kwenye akaunti za makampuni. Ni wazuri kwenye mikopo ila utendaji binafsi sina experience nzuri na wao.
Bado wanakula buku buku za balance inquiryCRDB Mpaka sasa nasaga meno nitawafuata huko huko dodoma kama wanafanya majaribio ya mfumo mpya basi wafanye kwenye madokezo sio kwenye mshahara hela yenyewe haifiki hata mwezi mmoja .
Aisee kweli wanakata hela za kuangalia na mda mwingine wanachelewesha textBado wanakula buku buku za balance inquiry
Naona mimi leo ndo nimepata mshahara muda ya saa saba na dakika 11 mchana.Wengine wamepata tangu ijumaa ,wengine hadi muda huu bado hawajapata kitu inashangaza!
Mkuu na mimi ndo nimepata muda huu saa 13:11. Ila nimeshangaa kwa nini wachelewe mpaka tarehe 24.01.2023.Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank
Unataka hizo benki zife?Soko linapaswa kuwa huria, Serikali haipaswi kuibeba NMB au CRDB.
Nmb pia wazito sana hata kwenye akaunti za makampuni. Ni wazuri kwenye mikopo ila utendaji binafsi sina experience nzuri na wao.
HahahaUnataka hizo benki zife?
Wakifanya kila Bank kina NBC,DTB,KCB,Equity, Stanchart, Stanbic watapata wafuasi
Mm binafsi salary inapitia nmb na iliwahi siku2 kabla ya crdbHii ya sharti lazima mshahara upitie kwao sifikiri kuwa Kuna kitu nyuma ya pazia sababu hii ni business strategies mtu anaekukopa awe na faida kwako angalau umuwekee masharti nje na riba watu wa biashara wanajua(how to win rivals)
Kwa issue ya mshahara kuchelewa kwa nmb na crdb kuwahi hapo Sasa ndo walakini