Hazina acheni kuitumia CRDB na kuiacha NMB. Watumishi mmeona kinachoendelea

Hazina acheni kuitumia CRDB na kuiacha NMB. Watumishi mmeona kinachoendelea

Nasikia mpaka Sasa walimu wanaochukulia NMB ni bila bila

Kwa kweli ni hatari kama ni kweli hii ni baraa tofauti ya zaidi ya masaa 24.
 
Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya

Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank
Mimi mshahara unapitia CRDB lakini mbona mpaka sasa muamala haujasoma?
 
Soko linapaswa kuwa huria, Serikali haipaswi kuibeba NMB au CRDB.

Nmb pia wazito sana hata kwenye akaunti za makampuni. Ni wazuri kwenye mikopo ila utendaji binafsi sina experience nzuri na wao.
Watu wanasahau kwamba serikali ina hisa katika benki zote hizo. Ya NMB ni kubwa zaidi.
 
CRDB Mpaka sasa nasaga meno nitawafuata huko huko dodoma kama wanafanya majaribio ya mfumo mpya basi wafanye kwenye madokezo sio kwenye mshahara hela yenyewe haifiki hata mwezi mmoja .
Bado wanakula buku buku za balance inquiry
 
Mpaka sasa muda ni 20:00 leo tarehe 23.01.2023 sijapata kitu, bora watoe tuu nirudi kazini.
 
Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya

Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank
Mkuu na mimi ndo nimepata muda huu saa 13:11. Ila nimeshangaa kwa nini wachelewe mpaka tarehe 24.01.2023.
 
Soko linapaswa kuwa huria, Serikali haipaswi kuibeba NMB au CRDB.

Nmb pia wazito sana hata kwenye akaunti za makampuni. Ni wazuri kwenye mikopo ila utendaji binafsi sina experience nzuri na wao.
Unataka hizo benki zife?

Wakifanya kila Bank kina NBC,DTB,KCB,Equity, Stanchart, Stanbic watapata wafuasi
 
Hii ya sharti lazima mshahara upitie kwao sifikiri kuwa Kuna kitu nyuma ya pazia sababu hii ni business strategies mtu anaekukopa awe na faida kwako angalau umuwekee masharti nje na riba watu wa biashara wanajua(how to win rivals)

Kwa issue ya mshahara kuchelewa kwa nmb na crdb kuwahi hapo Sasa ndo walakini
Mm binafsi salary inapitia nmb na iliwahi siku2 kabla ya crdb
 
Back
Top Bottom