Hazina Haina Kitu: Wazabuni, Makandaradi, Madeni, ni taabu

Ushauri wa bure.
Mama amtoe Mwigulu pale hazina.
Kwanza itastabilaiz uchumu lkn pia itapandisha umaarufu wake.
(Jamani Mwigulu hamudu pale labda kusimamia mabasi na vituo vya mafuta, sio hazina ya nchi)
 
Ndio maana ya DPW, kuja ili niweze kuishi
 
Pesa tunamalizia kuhonga Waandishi wa habari, Wanasheria nk ili DP WORLD apewe bandari. Tuna tatizo la msingi Kiuongozi Nchi hii.
Maono yangu, UBINAFSISHAJI WA TPA Utangazwe wazi Makampuni yote yapewe uwanja sawa wa kiushindani tupate mwekezaji wa zao la ushindani.
Sio kutuletea wajomba zenu....ova
 
Ushauri wa bure.
Mama amtoe Mwigulu pale hazina.
Kwanza itastabilaiz uchumu lkn pia itapandisha umaarufu wake.
(Jamani Mwigulu hamudu pale labda kusimamia mabasi na vituo vya mafuta, sio hazina ya nchi)

Dua la kuku,kuna hawa mawaziri huwezi sikia wamewekwa benchi,mwigu,njanu,nepi,rizimoko, na wale mawaziro toka zenji.
 
Source ya Taarifa hii Iko wapi?
 
Wabongo muwe na kiasi,,

Sio kila kitu kujitia kujua, Kwa kawaida mwez July had August mifumo ya fedha serikalin inakuwa imefungwa Kwa ajili ya ukamilishaj wa maandaliz ya bajet mpya.

Utaona kuanzia September Mambo yanabadilika.
Ni kweli mifumo ikifunguliwa kuanzia September bei za bidhaa hasa Petroleum na Cement zitashuka
 
Mpaka leo haieleweki dpw alipatikana vipi tenda haikutangazwa alishindana na na kampuni zipi namshangaa huyu mzee dk Asad yeye aliyekuwa CAG kusema watu hawana uelewa kuhusu uwekezaji bandarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…