Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Transition haziwez kufanana , muhim kutambua kuwa hali ya July August huambatana na changamoto Kama hizHuu sasa ndo UJUAJI.
Mkuu, una maanisha wote humu hatujawahi kuishi kuiona hiyo July/August transition before?
Kuwa mvumilivu kidogo kwenye maoni ya wengine
😄😄😄😄😄Wanaopandisha bei ni wahaini.
Kikwajuni kama lilivyo jina lako iko Zanzibar. Mpo kutetea uharo unaofanywa na ndugu zenu. Sometimes ficha upumbavu wako ili maisha yaendeleeWatu wavivu kwa kulalamika hawawezekani,acheni uvivu,fanyeni kazi.
Njoeni Nanjirinji muone kulivyodamshi, msimu wa ufuta umeisha sasa tupo msimu wa mbaazi, baada ya hapo unafuatia wa korosho, lete biashara yako iwe vifaa vya ujenzi, chakula, usafiri, vinywaji ,madawa ya kilimo au hata uchawi watu watanunua tu.Biashara zote sasa hivi hazitoki...wateja hamna[emoji24]..hela hamna yaani...
Mbona unaandika habari za hear say ambazo hazina ushahidi? Mkikamatwa mkathibitishe mtajibu nini hasa? Punguzeni ujinga basi.Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi za sekta binafsi zinategemea serikali, kwani nyingi zinapata flow ya pesa kutoka Kwa mwigulu nchemba na wizara yake kiujumla.
Hali ya Hazina ni mbaya sana, pesa hakuna, ila tujikumbushe kuwa serikali kamwe haiwezi kufeli, na hiki ni kipindi cha mpito.
Hata wote tunakumbuka serikali ya Ugiriki ilivyodondoka kiuchumi, na kuokolewa na serikali ya ujerumani Kwa kuingiza Fedha kiasi Cha Dolla bilioni 100, kama Mkopo Kwa Greece , ambapo mpaka Sasa Mkopo huo uliweza kulipwa kupitia staili ya mabeberu ya magharibi ya kutumia ukoloni mamboleo.
Hali hii pia tunashukuru tumeweza kuijua kwakuwa serikali iliyopo madarakani imeruhusu uhuru wa kuongea , kwani ingekuwa enzi zile habari hii ingekuwa ni Siri kubwa
Mkuu wasitutishe hawa wasiojua. Kila mwaka kwa kipindi cha Julai hadi katikati ya Agosti Serikali usitisha malipo yote kw ajili ya kufanya reconciliation na kuhama kutoka bajeti ya mwaka unaopita na kuingia bajeti mpya. Na kwa taarifa zao, mifumo imeishafunguka tangu wiki iliyopita na mambo yanaenda kuwa mazuri. Viva Tanzania Viva!!!unaongea hivyo wakati watu wanasubiri mwishoni mwa august waongezewe mishahara. viva tanzania
ChoiceVariable mungu wa uchumi wa nchi hii. Hii taarifa una maoni gani kuokoa jahazi?😄😄Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi za sekta binafsi zinategemea serikali, kwani nyingi zinapata flow ya pesa kutoka Kwa mwigulu nchemba na wizara yake kiujumla.
Hali ya Hazina ni mbaya sana, pesa hakuna, ila tujikumbushe kuwa serikali kamwe haiwezi kufeli, na hiki ni kipindi cha mpito.
Hata wote tunakumbuka serikali ya Ugiriki ilivyodondoka kiuchumi, na kuokolewa na serikali ya ujerumani Kwa kuingiza Fedha kiasi Cha Dolla bilioni 100, kama Mkopo Kwa Greece , ambapo mpaka Sasa Mkopo huo uliweza kulipwa kupitia staili ya mabeberu ya magharibi ya kutumia ukoloni mamboleo.
Hali hii pia tunashukuru tumeweza kuijua kwakuwa serikali iliyopo madarakani imeruhusu uhuru wa kuongea , kwani ingekuwa enzi zile habari hii ingekuwa ni Siri kubwa
Si wachapishe noti za madafu kwa wingi.?!Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi za sekta binafsi zinategemea serikali, kwani nyingi zinapata flow ya pesa kutoka Kwa mwigulu nchemba na wizara yake kiujumla.
Hali ya Hazina ni mbaya sana, pesa hakuna, ila tujikumbushe kuwa serikali kamwe haiwezi kufeli, na hiki ni kipindi cha mpito.
Hata wote tunakumbuka serikali ya Ugiriki ilivyodondoka kiuchumi, na kuokolewa na serikali ya ujerumani Kwa kuingiza Fedha kiasi Cha Dolla bilioni 100, kama Mkopo Kwa Greece , ambapo mpaka Sasa Mkopo huo uliweza kulipwa kupitia staili ya mabeberu ya magharibi ya kutumia ukoloni mamboleo.
Hali hii pia tunashukuru tumeweza kuijua kwakuwa serikali iliyopo madarakani imeruhusu uhuru wa kuongea , kwani ingekuwa enzi zile habari hii ingekuwa ni Siri kubwa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]maana hapo nikae kimya nisije nikafuata mimi
Upuuzi tuu,wewe umeona huyo aliyeandika kaweka ushahidi wowote au ni porojo zake? Mwambie haitakaa itokee.ChoiceVariable mungu wa uchumi wa nchi hii. Hii taarifa una maoni gani kuokoa jahazi?😄😄
akili hii ndio maana hata bandari imewashinda kuendeshaNi kweli mifumo ikifunguliwa kuanzia September bei za bidhaa hasa Petroleum na Cement zitashuka
Kwani ile advance ya Dobo Payment Weld imeiisha? Mwambieni mgulu wa chemba afyatue mipesa mingi kama zimbabwe.Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi za sekta binafsi zinategemea serikali, kwani nyingi zinapata flow ya pesa kutoka Kwa mwigulu nchemba na wizara yake kiujumla.
Hali ya Hazina ni mbaya sana, pesa hakuna, ila tujikumbushe kuwa serikali kamwe haiwezi kufeli, na hiki ni kipindi cha mpito.
Hata wote tunakumbuka serikali ya Ugiriki ilivyodondoka kiuchumi, na kuokolewa na serikali ya ujerumani Kwa kuingiza Fedha kiasi Cha Dolla bilioni 100, kama Mkopo Kwa Greece , ambapo mpaka Sasa Mkopo huo uliweza kulipwa kupitia staili ya mabeberu ya magharibi ya kutumia ukoloni mamboleo.
Hali hii pia tunashukuru tumeweza kuijua kwakuwa serikali iliyopo madarakani imeruhusu uhuru wa kuongea , kwani ingekuwa enzi zile habari hii ingekuwa ni Siri kubwa
Wewe inafaa ukapimwe mkojo npamoja na akina mdude nyangali.Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi za sekta binafsi zinategemea serikali, kwani nyingi zinapata flow ya pesa kutoka Kwa mwigulu nchemba na wizara yake kiujumla.
Hali ya Hazina ni mbaya sana, pesa hakuna, ila tujikumbushe kuwa serikali kamwe haiwezi kufeli, na hiki ni kipindi cha mpito.
Hata wote tunakumbuka serikali ya Ugiriki ilivyodondoka kiuchumi, na kuokolewa na serikali ya ujerumani Kwa kuingiza Fedha kiasi Cha Dolla bilioni 100, kama Mkopo Kwa Greece , ambapo mpaka Sasa Mkopo huo uliweza kulipwa kupitia staili ya mabeberu ya magharibi ya kutumia ukoloni mamboleo.
Hali hii pia tunashukuru tumeweza kuijua kwakuwa serikali iliyopo madarakani imeruhusu uhuru wa kuongea , kwani ingekuwa enzi zile habari hii ingekuwa ni Siri kubwa
Nadhani hao ni wazalendoWanaopandisha bei ni wahaini.